Kuboresha utalii ni pamoja na kufufua Airline,Halafu ndege yenyewe ya masafa marefu ni moja, ikibuma ndio imebuma. Hawa watu wanawajua lakini wazungu au? Yaani aache kupata raha za dunia Emirates na Qatar akapande Air Tanzania????? Hizi pesa tungezitia kwenye kuboresha miundombinu ya kilimo na utalii tungepata much kuliko huko.
Kuboresha utalii ni pamoja na kufufua Airline,
Sssagulaga
Ungesoma mpk mwisho ungeelewa. Hakuna aliyetumiaEmbu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Wanatukoleza kwa rangiMkuu huo ndiyo mtazamo uliyo sahihi na siyo kulaumu tu. Kama ni kweli ni ndege iliyokwisha kutengezwa, kama inavyodaiwa mitandaoni, kutokuletwa mara tu baada ya kulipiwa ina maana inafanyiwa marekebisho.
Mimi si mtaalamu wa kutengeneza ndege, lakini taalamu yangu ni ufundi. Inawezekana kabisa kutumia hiyo LN19 kuifanyia marekebisho hiyo ndege kukidhi mahitaji ya mnunuzi pasipo kulazimika kuunda ndege mpya. Ni hilo si jambo geni katika nyanja za kifundi na teknolojia ya kisasa. Hata mafundi ambao hawakwenda vyuoni hufanyia vitu mbalimbali marekebisho kukidhi mahitaji ya wakati huo, na iko mifano mingi tu.
Mkuu huo ndiyo mtazamo uliyo sahihi na siyo kulaumu tu. Kama ni kweli ni ndege iliyokwisha kutengezwa, kama inavyodaiwa mitandaoni, kutokuletwa mara tu baada ya kulipiwa ina maana inafanyiwa marekebisho.
Mimi si mtaalamu wa kutengeneza ndege, lakini taalamu yangu ni ufundi. Inawezekana kabisa kutumia hiyo LN19 kuifanyia marekebisho hiyo ndege kukidhi mahitaji ya mnunuzi pasipo kulazimika kuunda ndege mpya. Ni hilo si jambo geni katika nyanja za kifundi na teknolojia ya kisasa. Hata mafundi ambao hawakwenda vyuoni hufanyia vitu mbalimbali marekebisho kukidhi mahitaji ya wakati huo, na iko mifano mingi tu.
Imeonaeweee?naamini hata hii ndege watapewa sungusungu ili kutufunga midomoHata Kivuko tulidanganywa kipya.
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Utakolezwa kwa rangi kama: 1) utafunika ubongo wako gubigubi,Wanatukoleza kwa rangi
Ethiopian Airline na Air Austral yalichukua ndege hizi kwa sababu masafa marefu haikuwa ishu kwao!
Mtu ukinunua simu mpya niseme labda ya mwaka juzi ambayo ni smartphone, je utaanza kuitumia ilivyo au wataiupdate wauzaji au wewe kama haswa unataka kuhakikisha ipo swafiiiiiiiiiiii na haitakuletea matatizo? Na kwa ndege nani inatakiwa aiupgrade au unataka ije kama ilivyokuwa mwaka uleeeeee na mpya mengi yapo hadi kwa software n.k.
Haya mjuzi nijuze mimi?
Kama mtengenezani hapandi nani atapanda?Mtalii yupi atakayerisk maisha yake kupanda ndege Bomu.
Tukubali aliyezoea kula nyama za watu baadhi kamwe.Jamaa yetu ni mpiga deal tu hana lolote hapo.
Mimi ni mmojawapo wa watanzania wasiounga mkono wazo la serkali kununua ndege kwa wakati huu na hasa kununua kwa cash.Umeshindwa kusoma ndio maana hukuelewa, terrible teens L1 - L20, ni ndege za mwanzo aina 787 dream liner kuzalishwa na boieng, inawesemekana ndege hizi zilikuwa na matatizo kiasi cha kufanyiwa re-engineering na kuzalisha L21 - up ambazo hazina matatizo, sasa hizo L1-L20 baada ya kukosa wateja boeng wakashusha bei to USD 90MIL kutoka zaidi ya USD 220 MIL na zaidi. Inaonekana wabongo sasa tumenunua hiyo L19 ambayo iko kati ya L1 - L20, tena kwa bei ya USD 220 Mil baada ya usd 90 mil..
Ndg zangu mna poteza mda bure, serikali ilishayajua hayo toka kitambo,kampuni ya Airbus ili disclose kila kitu katika mvutano wa kibiashara kati yake na Boeing, kumbuka biashara ushindani, hivyo serikali inalijua jambo hilo vzr, ndo mana ndege mpya itakuwa tayari 2018.Wewe huwezi jiuliza kwanini kama ipo tayari toka 2016 inasubiri nini kufika na pesa tayari ishalipwa! Tuwe na akiba ya maneno, tusiendeshwe na chuki tunashindwa kutumia bongo zetu vzr.Tofautisha re - engineering/redesign na kuupgrade, kuanzia L1 - L20 zilikuwa na matatizo maana yake engineering problem.. Kwenye engineering kuna kitu kinaitwa prototype ( first product) ambayo ndio itakuwa pilot ya product zote za namna hiyo utakazozalisha, prototype ikiwa na makosa maana yake product zote utakazozalisha lazima pia ziwe na makosa mpaka hapo user au engineers watakapogundua na kuja na claims ambazo ndio zitazaa product improvement program, sasa hiyo improvement program kama itakuwa ni redesign kutokana na makosa makubwa ya kiufundi kuanzia kwenye structural, engine, transmission, braking system na hydraulic system inabidi ufanye vitu viwili amavyo ni kuscrap the existing product popote ilipo, kustop uzalishaji wa hiyo product na kuzalisha nyingine na kuipa model nyingine na Ile ya zamani ukaiacha kama itaonekana haina madhara kwa jamii na mazingira..
Ndg zangu mna poteza mda bure, serikali ilishayajua hayo toka kitambo,kampuni ya Airbus ili disclose kila kitu katika mvutano wa kibiashara kati yake na Boeing, kumbuka biashara ushindani, hivyo serikali inalijua jambo hilo vzr, ndo mana ndege mpya itakuwa tayari 2018.Wewe huwezi jiuliza kwanini kama ipo tayari toka 2016 inasubiri nini kufika na pesa tayari ishalipwa! Tuwe na akiba ya maneno, tusiendeshwe na chuki tunashindwa kutumia bongo zetu vzr.
Tofautisha re - engineering/redesign na kuupgrade, kuanzia L1 - L20 zilikuwa na matatizo maana yake engineering problem ...
...
Kama ndege hizo tayari zilishatengenezwa (na kukataliwa) ni kwa nini delivery time imekuwa kubwa sana?
...