Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

OEING Co. has sold the remainder of its early, overweight 787 Dreamliners that have been in storage for years to meet demand from buyers eager to obtain jetliners that are otherwise sold out through the end of the decade.

Ethiopian Airlines is acquiring six of the models in a transaction valued at £1.3 billion ($2.04 billion) at list prices, Boeing said in a statement on Wednesday.

Labda wape hiyo 2.04bil USD ukigawa kwa six watupe majibu
 
Na kwanini hiyo iliyododa tusubiri itengenezwe kwa miaka miwili? Manake inakuja 2018
 
OEING Co. has sold the remainder of its early, overweight 787 Dreamliners that have been in storage for years to meet demand from buyers eager to obtain jetliners that are otherwise sold out through the end of the decade.

Ethiopian Airlines is acquiring six of the models in a transaction valued at £1.3 billion ($2.04 billion) at list prices, Boeing said in a statement on Wednesday.

Mkuu Ethiopia wamenunua Ndege kwa bei hiyo je hiyo imekajee
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Mama mchepuko garagazwa wa Bashite usijibu kitu usichokisoma ukaelewa mwanzo mwisho.
Haya mambo piga kimya.

Wenyewe wanapiga hela
 
Na kwanini hiyo iliyododa tusubiri itengenezwe kwa miaka miwili? Manake inakuja 2018
Kama unaweza kuelewa, pengine swali lako ndio jawabu lake ukiondoa alama ya kuuliza. Ndege hutengenezwa kwa order isipokuwa kama ni model mpya kwa ajili ya demonstration. Tanzania ilitoa order kununua ndege, hivyo sasa ndege mpya inatengenezwa/inafanyiwa modification ili ku-suite customer's needs. Aidha unatakiwa kujua kuwa technical malfunction ya ndege ni responsibility ya manufacturer kwa miaka isiyopungua mitano.
 
Kama waliuziwa screpa za MV Dar Es salaam sishangai Hili.
 
Mama mchepuko garagazwa wa Bashite usijibu kitu usichokisoma ukaelewa mwanza mwisho.
Haya mambo piga kimya.

Wenyewe wanapiga hela

Ha ha haaaaaa

Kwanza simjui uliyemtaja.

Lingine ungetumia akili, usingebwabwaja. Ndio nyie hamfikiriagi nje ya boksi..jisikitikie
 
Mkuu hizo excell zijatengeneza Link fuatilia usiwe mvivu.
 
Rais ni mpigaji wa ukweli
From $224m jamaa wakaishusha mpaka $99m na hizo ndege hazifai (1-20) zikawa ziko sokoni kwa bei ya chini.
Rwanda alichukua2_ akaja kuikataa moja kumbe ni hiyohiyo yenye uzito mkubwa ambazo ni za majaribio leo hii huyu banyamulenge anakuja kuichukua bila bunge kupitisha.
Huyu ni mwizi wa waziwazi kabisa
 
Kama ndege ilikamilika mpk mwisho hakuna haja ya kusubiri kwa sab kasoro zake hazirekebishiki ndio maana ikauzwa bei rahisi as it is hiyo miaka mitano ni ya warrant ni kawaida hata kwa magari brand new.
 
Ha ha haaaaaa

Kwanza simjui uliyemtaja.

Lingine ungetumia akili, usingebwabwaja. Ndio nyie hamfikiriagi nje ya boksi..jisikitikie
Kazi yako kutumia tu hujui zimetoka wapi
 
Kama ni hivo inamaana kuwa hiyo ndege tunayoletewa sio hizo zinazozungumzwa kuwa zipo chini ya kiwango kwasababu hiyo ni model mpya
(Kwa miaka hii yote inafanyiwa modifications)
Au nimeelewa vibaya mkuu
 
alieturuhusu tufiche IDs zetu hapa jf aliwaza mbali sana! hata fundi baiskeli utamkuta yupo bize anamchambua mnyama dreamliner. mtaji wa karakana yake haufiki hata buku kumi na tano ila nae analalamika kupigwa cha juu na Rais kwenye bei ya hilo dude!! huyu Rais ana shida sana
 
nawaza kuna siku tutatamani tungeongozwa na huyu mzee hata kwa miaka 50.. akishaondoka lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…