Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Kwakweli maswali yamekushinda ,pole sana mimi nimefatilia toka mwanzo labda utajibu ,inaonesha hujui kitu, pole sana
Hayo maneno hata manabii waliojaa hapa tz wanasema hivo
Njoo hapa nipinge mada yangu kwa hoja , wapi nimekosea , na kipi ni sahihi,
Sio kukariri maneno na kutoa lawama ,haisadii
Mkuu jibu maswali, hatujakuomba PDF hapa, hizo zipo google hata mimi ninazo nyingi tu ,Kindly read the book below.
Hizo aya ndio zimekuambia AMRI KUMI zimeishia msalaban? Mbona mnabaka maandiko hivo?View attachment 924274
Mkuu kwa kutulia kabisa naomba usome hayo maandiko na uniambie kweli wewe umekutana na YESU
Maana naona mpaka sasa usomapo agano la kale ule utaji wakukalia moyoni nawe usipate kujua kuwa YESU KRISTO huo utaji huondolewa
1cor 3:16
Acha bla blaa ,mjadala hauwez kwenda kwa staili hiyo, umeambiwa jibu maswali unaleta PDF, kwahiyo tufanye mjadala kwa kutumiana pdf?Nime-attach kitabu kwenye moja ya posts za huyo aliedai nakimbia maswali. Download and read it then come back here so that I respond to whatever question you may have.
Eti chuki ,wewe unataka uthibitisho gani?Siku kanisa katoliki likiamru hayo uliyoyaandika nitaamini ulichoandika,lkn kwa sababu sijaona uwepo wa mambo uliyoyaandika ,siwezi kuamini kabisa maana chuki ya wasabato kwa kanisa hili katoliki imejaa kibubu...
Acheni chuki zisizo na msingi na badala yake mjikite ktk kupeleka roho za watu mbinguni.
Usikurupuke,Umehama Topic na kuingia kusikojulikana
Alama ya mnyama
Sabato ndio mhuri
Tuchague lipi sasa
Acha bla blaa ,mjadala hauwez kwenda kwa staili hiyo, umeambiwa jibu maswali unaleta PDF, kwahiyo tufanye mjadala kwa kutumiana pdf?
Wewe kama majibu yapo kwenye hiyo pdf , yanyofoe au copy then paste hapa
Kujibu maswali,
ACHA KUKIMBIA KIMBIA
Hahahaaaa wewe jamaa umenifurahisha , hebu nyofoa majibu ulete hapa,Hata nikifanya unachokitaka NI OBVIOUS KUWA HUTAELEWA. Am done with you - seems we are from different levels of academic intelligence.
Mkuu kubali ngoma ngumu, hautachekwa,Hata nikifanya unachokitaka NI OBVIOUS KUWA HUTAELEWA. Am done with you - seems we are from different levels of academic intelligence.
Mkuu kubali ngoma ngumu, hautachekwa,
Mimi kuna mtu tulikuwa tunafatilia nae huu mjadala tulibet ,mimi nimeweka elfu kumi, nikabet hutaweza kujibu swali hata 1,
Nakweli ,nimekula hela, msichojua ni kuwa wasabato hawabahatishagi , huu unabii ni wasabato pekee wanaouelezea kwa ufasaha na evidence, japo mimi kuna mambo napingana nao wasabato, ila nilikuwa na uhakika hutaweza kujibu, sio wewe tu hata aje nani ,mimi nipo tayari kuweka dau, Mnyama ni romani catholic au upapa , na alama yake ni jumapili, ukibisha njoo na ushahidi kwa kujibu hayo maswali, sio kupachika PDF .
Usikurupuke,
Mwisho nimeonesha Alama ya mnyama ni ibada ya jumapili
Alama ya Mungu ni ibada ya sabato
Jibu maswali uliyoulizwa, acha kutafuta vichaka,Don't make me laugh!
Mtu mwingine anaweza akasema mnyama ni magufuli na alama ni jembe na nyundo. Hatakuwa amedai tofauti na wewe ulivyofanya hapa.
The key here ni USHAHIDI USIO NA SHAKA. Unao??? Ulete hapa tuuone. Mimi nimekupa link na kitabu, hutaki hata kuusoma ukatoa makosa yaliyomo. Unataka majibu ya aina gani, ramli?
BTW: Jumapili inakaaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu? Sikutegemea kusoma kitu ridiculous kama hiki tena kutoka kwa mtu anaejisifia kujua hivi unavyojisifia.
Soma hapa (Ufunuo 13: 16 - 18) halafu niambie Jumapili ina-fit vipi kuwa alama inayoongelewa hapa.
16 Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, 17ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
Mtoa mada kaeleza vzr, wewe kwa akili yako unadhani , kuwekwa kwenye paji na mkono, ni kupigwa Alama ya moto?Ibada ya Jumapili inawekwaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu?
Kuna kipindi huwa najiuliza kama Wasabato huwa wanasoma Biblia tunayosoma sisi wengine! You guys; have you been put under a delusion?
Hizo aya ndio zimekuambia AMRI KUMI zimeishia msalaban? Mbona mnabaka maandiko hivo?
Jibu maswali uliyoulizwa, acha kutafuta vichaka,
Unajibu maswali kwa kuleta link?una akili kweli wewe
Copy na kupaste , kwenye hiyo Pdf yako, ulete majibu utuambieDon't make me laugh!
Mtu mwingine anaweza akasema mnyama ni magufuli na alama ni jembe na nyundo. Hatakuwa amedai tofauti na wewe ulivyofanya hapa.
The key here ni USHAHIDI USIO NA SHAKA. Unao??? Ulete hapa tuuone. Mimi nimekupa link na kitabu, hutaki hata kuusoma ukatoa makosa yaliyomo. Unataka majibu ya aina gani, ramli?
BTW: Jumapili inakaaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu? Sikutegemea kusoma kitu ridiculous kama hiki tena kutoka kwa mtu anaejisifia kujua hivi unavyojisifia.
Soma hapa (Ufunuo 13: 16 - 18) halafu niambie Jumapili ina-fit vipi kuwa alama inayoongelewa hapa.
16 Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, 17ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
Mtoa mada kaeleza vzr, wewe kwa akili yako unadhani , kuwekwa kwenye paji na mkono, ni kupigwa Alama ya moto?
Hapo ni kuhusu IBADA na mtoa mada kaeleza vzr, Unataka kusema Kama mtu alikuwa mwema ,amefata maagizo ya Mungu, Akija akakamatwa akapigwa hizo chip, tayar huyo ni wa motoni? Inaingia akili kweli?
UMEULIZWA MASWALI ,hutaki kujibu unaleta ngonjera,
Hahahahaaaaa Jibu maswali, unajiaibisha tu,nyie ndio wadandiaji wa mada tu, kazi kupinga hamna evidence, kweli wewe una akili timamu, unaulizwa swali huleti majibu, una attach PDF unasema majibu yapo humo, sisi hatujayaonaI guess any intelligent person will understand what is going on here.