Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

pesa ndio rafiki wa kweli
giphy 90.GIF
 
Sipo sahihi to whom?

I already told you my non-negotiable. How could that possibly lead to worse life outcomes for me?
Unaweza kuruka majivu ukakanyaga moto. Unaweza kuachana na mtu kwasababu kakunasa kibao ukaenda kuolewa na atakaye kupiga risasi na kukuua papo hapo kama siyo kukuachia kilema cha maisha. I mean you don't necessarily know that your life outcomes are a result of your principles/non-negotiables. They could be due to some other omitted variables or purely due to luck. Your so called non-negotiables are not necessarily influencing your life outcomes right now. They won't necessarily influence your life outcomes in the future because there are so many other variables at play.
 
Nataka unipe huo utaalamu waliokua wanatutishia wazazi wetu kua watatulaani. Ili na me nikae nao kama dharula, siunajua tena watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu 😂😂😂😂
unavua nguo unabaki uchi halafu unainama huku ukitingisha matako ...yaani tayari umemlaani
 
Back
Top Bottom