Darleen
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 570
- 483
Uchafu utakaotoka utaona kinyaaNjia za kuondoa kitambi ni mbili, upasuaji na mazoezi, haya mengine ni uongo mwingine huu
Uchafu utakaotoka utaona kinyaaNjia za kuondoa kitambi ni mbili, upasuaji na mazoezi, haya mengine ni uongo mwingine huu
mh hyo inakuaje hyooHapana boss kuna kitu unanyonya mafuta balaaa, unaloweka tu miguu then acha mashineifanye kazi yake.
Heheh hizi sayansi mwitu hizi...
Kwa hiyo kitambi ni furushi la mavi tumboni sio!!!
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
mkuu utamu zaidi ..nunua ukwaju kama robo hivi kisha uloweke kwenye maji baada ya kuuosha..Ukiuosha unapunguza "fleva" flani. Wewe uloweke tu moja kwa moja kwenye maji ya moto zaidi ya yale ya kupikia ugali na utachuja baadae. Kama kuna uchafu, bacteria, minyoo etc wa aina yoyote ile, hawatasurvive kwenye joto lile
Kwahyo unashaurije mkuu? Kitambi kinanitesa sana afu bahati mbaya tena nimenyimwa chiniWachina wanakula sana ukwaju na matumbo yao ni flat. Pia wana kunywa green tea baada ya kula.
Emu fafanua mkuu tukusaidieeKwahyo unashaurije mkuu? Kitambi kinanitesa sana afu bahati mbaya tena nimenyimwa chini
Shoppers supermarkerts,shrejee supermarkerts etc etc..Green tea inapatikana wapi?
Shoppers supermarkerts,shrejee supermarkerts etc etc..Green tea inapatikana wapi?
Ni wapi huku wanafanya hii mkuu?Uchafu utakaotoka utaona kinyaa
Shoppers supermarkets,Sherjees supermarkets etc etc...Nawezaje kupata hyo green tea
Sina uakika ila hao wenye vitambi wakifanyiwa operation kwa mambo mengine mbona unakuta ni full mafuta?asilimia kubwa iko hvyo mkuu...
we jaribu kufikiria tu mkuu ile massage wanayomfanyia mtu tumboni mpaka anapatwa na haja unadhani ile haja inayompata mtu mkuu ni mafuta au kinyesi kileeee???
kinyesi hutokea mlango wa nyuma tu ...
kila kitu kina njia yake..
ila wenye vitambi naona wanapinga vikali uzi huu
Huu uzi umenichekesha sana hasa jamaa anapong'ang'ania utokeaji wa kitambi ni mlundikano wa ***** tumboni yeye hana back up ya kisayansi wala nini anachotaka watu wajisaudie kadri wawezavyo ili wapunguze vitambiHahahaha daaah usitake kujua jins navyocheka hapa !!!!!! Jf sitokiiiiiiii