Ukwaju ni kiboko ya kitambi

LELELU

Senior Member
Jan 29, 2018
167
259
Habari za masiku tele wakuu
Kwanza nashukuru kukutana na wadau tele humu JF kwa kuwa nilitoka kitambo sana na sasa nimerudi.

Mada husika
Ukwaju na kitambi ni vitu haviendani kabisa,nimeanza kutumia ukwaju japo sina kitambi lakini tumbo langu linanikera kubwa fulani hivi habari yake ni tamu mno

Nimekunywa juisi ya ukwaju nashangaa nikienda chooni kwamba ule uchafu wote unatoka tumboni kwangu? Yaani unashusha mzigo mfululizo kabisa sasa nikaassume je nikitumia kwa mwezi mmoja si hili tumbo litabaki flati kabisa.

Na kuna wadau walishaeleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni au kula mfululizo ..

Wadau tengeneza juisi ya ukwaju mwenyewe kisha inywe glasi mbili mpaka tatu kwa mpigo narudia tengeza mwenyewe juisi ya ukwaju..
 
Tupe mchakato wa kutengeneza juice yenyewe.
mkuu utamu zaidi ..

nunua ukwaju kama robo hivi kisha uloweke kwenye maji baada ya kuuosha..

maji weka nusu lita..
yani hakikisha unapata juisi nusu lita baada ya kuchuja ..

utakuwa mkali kidogo ukwaju wako lakini vumilia kwa siku hizi za mwanzo nashauri usiweke chochote kwanza au kama vipi uweke asali kwa mbaali ili faida ziongezeke...

Alafu mbna sioni sehemu ya kucomment au jf imeboreshwa?

yani nikitaka kucomment basi nireply comment kama hii yako.. au ndo utaratibu siku hizi humu mkuu??
 
Green tea majanga maana hainywewi na sukari. Sikuwahi kuinywa ila one day nlikuwa safarini kwenda dubai nikaiomba mazee nlitamani kuirudisha ikabidi nijilazimishe tu kuepuka kuonekana mshambana ndo ilikuwa first time kutoka nje ya nchi
Hahahahaa
 
ndo hvyo mkuu we kama unakitambi ebu asubuhi jilazimishe kunywa Nusu lita ya juisi ya ukwaju ulotengeza mwenyewe alafu njo hapa utupe mrejesho wake...

sina maana kitambi kitaisha laa lakini ukifika toi yani ukisema upanue miguu tu mambo hayo yanatoka ...

na ukisema ujikamue aaaaahhh kama unakojoa mkojo mkuu yani mwemweree kabisa
 
Na juice ya mabungo vipi nayo ina udambwidambwi?, ...mimi huwa natumia sana ya tende inachanganywa na maziwa....hiyo nyoko aisee... ni mwendo wa kutupia kambani mwanzo mwisho..huku mwili ukiwa zile 3B....
..Ball control
...Ball Balance
...Ball Stamina.
Nashauri wale wazee wa Daly Kimoko...tusikose kuitumia...
 
ndo hvyo mkuu we kama unakitambi ebu asubuhi jilazimishe kunywa Nusu lita ya juisi ya ukwaju ulotengeza mwenyewe alafu njo hapa utupe mrejesho wake...

sina maana kitambi kitaisha laa lakini ukifika toi yani ukisema upanue miguu tu mambo hayo yanatoka ...

na ukisema ujikamue aaaaahhh kama unakojoa mkojo mkuu yani mwemweree kabisa
Sawa mkuu, ila ngoja nifanye uchunguzi kidogo jinsi kitambi kinavyopunguzwa kwa ukwaju.

Maana kupata choo vizuri sio suluhu ya kupunguza kitambi.

Kitambi kinatokana na mrundikano wa mafuta mwilini hasa mwenye ngozi, sasa nataka nijue kivipi haya mafuta yanapunguzwa na ukwaju
 
Wachina wana massage tumbo mpaka mafuta yanayeyuka lakini haja inaweza kuanzia kwenye kitandani cha massage
 
Sawa mkuu, ila ngoja nifanye uchunguzi kidogo jinsi kitambi kinavyopunguzwa kwa ukwaju.

Maana kupata choo vizuri sio suluhu ya kupunguza kitambi.

Kitambi kinatokana na mrundikano wa mafuta mwilini hasa mwenye ngozi, sasa nataka nijue kivipi haya mafuta yanapunguzwa na ukwaju
kitambi kinapunguzwakwa njia nyingi tu.

mwingine anaweza akafanya mazoezi na asipungue kisha akapungua kwa mkopo..

mwingine anapungua kwa maji mengi na wengine wanapungua kwa kwenda chooni sana..
Muhimu kitambi mara nyingi ni kinyesi kilichoganda masiku tele ..

haiwezekani mtu awe na kitambi kisha tuseme sio mabaki ya chakulbali mafuta tu...sasa hayo mafuta yametlkana na nini kama sio chakula ambacho kilibakia bila matumizi ??

ukila ukwaju unaenda kusafisha utumbo mpana na kukwangua mauchafu yote japo sio kwa siku moja au wiki bali tumia mfululizo
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom