Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?

Nilikuwa nikitumia green tea kwa muda kidogo.... Kuna siku katika kuperuzi.... Nikakutana na article ya madhara ya matumizi ya green tea hasa kwa muda mrefu ... Nimeacha kabisa kutumia hii kitu
 
mkuu utamu zaidi ..nunua ukwaju kama robo hivi kisha uloweke kwenye maji baada ya kuuosha..
Ukiuosha unapunguza "fleva" flani. Wewe uloweke tu moja kwa moja kwenye maji ya moto zaidi ya yale ya kupikia ugali na utachuja baadae. Kama kuna uchafu, bacteria, minyoo etc wa aina yoyote ile, hawatasurvive kwenye joto lile
 
Kwa kitambi cha yule msanii wa Bongo movie inatakiwa dozi ya siku ngapi?
 
kUkwaju ni natural laxative. unasaidia kupata choo kama haupati. ila hautoi kitambi. Dawa ya kitambi ni Mazoezi. Hakuna shortcut.
 
Fanyeni mazoezi na punguza kula hovyo.
Green tea, ukwaji ni mbwembwe tu. Hakuna lolote.
 
asilimia kubwa iko hvyo mkuu...

we jaribu kufikiria tu mkuu ile massage wanayomfanyia mtu tumboni mpaka anapatwa na haja unadhani ile haja inayompata mtu mkuu ni mafuta au kinyesi kileeee???


kinyesi hutokea mlango wa nyuma tu ...

kila kitu kina njia yake..
ila wenye vitambi naona wanapinga vikali uzi huu
Sina uakika ila hao wenye vitambi wakifanyiwa operation kwa mambo mengine mbona unakuta ni full mafuta?
 
Dawa mojawapo ya kupunguza vitambi na manyama uzembe no kupunguza vyakula vya sukari na wanga......yaani mboga mboga kwa sana na vyakula vya protini ndani ya muda mfupi utajishangaa
 
Hahahaha daaah usitake kujua jins navyocheka hapa !!!!!! Jf sitokiiiiiiii
Huu uzi umenichekesha sana hasa jamaa anapong'ang'ania utokeaji wa kitambi ni mlundikano wa ***** tumboni yeye hana back up ya kisayansi wala nini anachotaka watu wajisaudie kadri wawezavyo ili wapunguze vitambi
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom