kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,364
...ngoma ya watoto haikeshi,...Hakuna operation ya CHADEMA ilianzishwa ikafanikiwa Operation sangara ilifeli, M4C ilifeli, Safari ya matumaini iliishia Monduli , kuzuiya mkutano wa CCM Dodoma ikafeli, Mafuriko ya Lowasa yalifeli. Hii nayo msitegemee kufanikiwa kwani CCM ilishinda kwa kishindo CCM majimbo 190, UKAWA (UKUTA) majimbo 36 , Democrasia ya kweli Chama kilichoshinda ndo kinafanya maamuzi ya shughuli za serikali kwahiyo msituletee vurugu za uchu wa madaraka na hamkubali kushindwa
..kaka nakumbushia namba yako ili nipate zile T-shirt,..mambo yameiva.
swissme
...Swisshim..Mkuu mimi bado siamini kama UKUTA upo
Swissyou
..UKUTA utakusimamia kwa nyumasubiri uone #UKUTA ukisimama
Umewongezea point Bosi wako. usishangae kesho anatumia maneno haya haya pasipo "citation"Eti mkesha!Chadema eamepanga kugawa viroba vya bure ili asubuhi watu waanze kufanya vurugu
Toka lini msigwa akawa mbunge wa ccm?Democrasia ya kweli aliyeshinda ndo anaongoza na kufanya maamuzi sasa nyie hamkubali kushindwa dawa yenu ni virungu na mabomu ya machozi. CCM majimbo 190, UUKAWA (UKUTA) 36, sasa mnatuletea vurugu hapa, mfano mikoa ambayo UKAWA hawakushinda hata jimbo moja Dodoma, Iringa, Njombe, Rukwa, Katavi, Geita, Shinyanga, Mwanza, Pwani,Zanzibar, Pemba, Simiyu, Tabora, Tanga,na Kagera . Mikoa hii hamna hata mbunge mmoja halafu mnatuletea vurugu hapa '' Non sense''
Hawana kazi nyingine ni huo mkesha utakuwa wa kunywa viroba vya bure na kuporomosha matusi kwa watanzania waliojipumzikia majumbani.
Nenda ofisi za chadema karibu na mitaa yako utapata uduma...kaka nakumbushia namba yako ili nipate zile T-shirt,..
.Mara hii [Chadema] wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii
Wasanii gani watakaokubali kupigwa virungu na mabomu?Ntaendelea kuwapa mikakati zaidi kuhusu ukuta. Wasanii watakuwepo kutumbuiza kwanyimbo mbali mbali za amass kwenye mikesha hiyo inayaoendelea kuratibiwa nchi nzima
Wewe UVCCM kashughulikie kwanza ufisadi wa mali za jumuiya yako ndio uje hapa..
Kama ni zile taasisi za kidini ambazo maaskofu wake wamebaka mabinti, kuzalisha watoto wa mitaani, kuwatelekeza, kisha kwa kushirikiana na kina Kubeneya wakawateka, wakawaweka kizuizini kwa siku saba, then at gun point wakawalazimisha kusaini nyaraka zinazosema kwamba, maaskofu hao hawahusiki katika ufyatuaji wa watoto wa mitaani wale, basi, wasithubutu kutoa tamko. Hawana moral authority, na Mungu hapendi. Nawaasa Maaskofu wangu wasije kubali kuburuzwa tena kupitia jukwaa la wakristo. (Sakata hili linafahamika kwa DiPiPi fulani japo, kwa sababu ambazo hazifahamiki, hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi ya maaskofu hao kwa mujibu wa sheria zinazokataza kidnapping).