UKUTA wakosa waandamanaji

UKUTA wakosa waandamanaji

Watu wawe wabunifu zaidi, kulia lia mtandaoni hukuwezi kukujengea nyumba
 
Ukuta mmeisha kabisa! Badilini falsafa ya chama chenu kiwe cha vikoba ili SACCOS ziwakopeshe
 
Gear zinabadilishiwa angani - UKAWA jifunzeni kwa USA ambapo wagombea wakishindwa hukubali matokeo na kupigiana simu.
 
Wamarekani wampe viza kesho aende akajifunze demokrasia inafanyaje kazi. Jana tu wamemaliza uchaguzi na leo watu wako barabarani wakiandamana kila mahali... Polisi kibao wanawalinda na kuwaacha kuandamana kwa amani na usalama. Aende kujifunza ili aachane na fikra za karne ya 14.
 
Gear zinabadilishiwa angani - UKAWA jifunzeni kwa USA ambapo wagombea wakishindwa hukubali matokeo na kupigiana simu.

Acha kukwepa wajibu. Wewe umejifunza kitu pia? je umejifunza kumbe hata baada ya uchaguzi watu wanaweza kuruhusiwa kuandamana na kuelezea hisia zao?
 
Mnaskindwa kutumia fursa zilizopo nchini mnapanga maandamano, huu ni upuuzi uliopindukia. Viongozi wa CDM wafundisheni vijana kujijenga kiuchumi si kuwaza maandamano.
 
Chezea amani, tukutenge - msingi uliojengwa na Mwl Nyerere lazima tuulinde na kuuenzi
 
Mnaskindwa kutumia fursa zilizopo nchini mnapanga maandamano, huu ni upuuzi uliopindukia. Viongozi wa CDM wafundisheni vijana kujijenga kiuchumi si kuwaza maandamano.
UBARIKIWE
 
Siku zote duniani kote polisi hufanyia mazoezi kwenye ground - sijui baadhi mlitaka wafanyie wapi? POLICE FOR TANZANIANS
 
Ni fikra yakinifu kudhani kuwa ukuta ndo suluhu ya kuleta maelewano baina ya serikali na vyama vya siasa??
 
Nawaomba kwa wingi wenu muandamane kusifia jitihada za Mhe. JPM kuhusu kuzuia uibwaji wa madini yetu!!!

Chonde chonde uzalendo!!!!
 
VIVA JPM - Umekuja wakati mwafaka (funga mkanda nchi iende, taifa liendelee, migomo na maandamano havina tija kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii zetu)
 
Hapo awali maandamano yalikuwa kama chakula cha mchana kwa UKAWA, kila pahala ilikuwa migomo, maandamano na dhihaka dhidi ya viongozi wa serikali - JPM hongera kwa kuonesha njia
 
Siasa zetu zilenge kuliendeleza taifa si kuchochea hasira, visasi na chuki - CCM imejiimarisha katika misingi yake - hatutaiacha
 
Narudia kuwakumbusha cdm na washirika wake kuwa watulivu, kufuata taratibu na kuhakikisha taifa letu linabaki kuwa kisiwa cha amani
 
Back
Top Bottom