Ukuta wa Mirerani wakusanya shilingi bilioni 2

Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
Sanaa hiyo

Kwa Taarifa na kuweka kumbukumbu sawa

Mgod mkubwa wa TANZANITE uliopo kitalu C ambao unamilikiwa kwa ubia 50:50 kati ya SERIKALI na Sky Associate umetimiza MWAKA MMOJA haufanyi kazi.

Hii inatokana na wabia (sky associate) kusita kutoa pesa za kuendesha Mgodi baada ya mazungumzo ya umiliki mpya na Serikali kutokamilika had leo.

Pia, karibia mwaka sasa mnada wa Tanzanite umepigwa stop na JIWE.

Yapaswa tuwe wakweli kwa manufaa ya Nchi yetu

Tuache kujifariji kwa data za kupika
 
Sky ni makanjanja walikuja kuvizia wachimbaji wadogo wakitoa wawapigie pasati na kupiga nguzo alizo acha mzungu
 
Ni kweli Bizoo1

Watendaji wa iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini (upande wa Madini) wali corrupt kumuuzia zile 50 shares yule Sky Associate bila kufanya due diligence yoyote na bila hao Sky kulipa kodi.

PCCB hili saga wanalizungusha tu kwa makorido yao hadi wapigwe fimbo za mattako ndio utawaona wamewapeleka wahusika wakuu pale KISUTU

Hii Nchi hajapatikana Rais mwenye nia ya dhati ya kuvunja mifumo na kuwaadabisha majizi.

JPM anafurukuta weeee, anakutana na jitu linaitwa CCM ambao humo VIONGOZI wakuu waliopita wamejificha

Hawezi kuwafanya kitu KWANI NAYE ANA MADHAMBI MENGI KAFANYA akiwa Wazr na sasa....
 
Sanaa hiyo

Kwa Taarifa na kuweka kumbukumbu sawa

Mgod mkubwa wa TANZANITE uliopo kitalu C ambao unamilikiwa kwa ubia 50:50 kati ya SERIKALI na Sky Associate umetimiza MWAKA MMOJA haufanyi kazi.

Hii inatokana na wabia (sky associate) kusita kutoa pesa za kuendesha Mgodi baada ya mazungumzo ya umiliki mpya na Serikali kutokamilika had leo.

Pia, karibia mwaka sasa mnada wa Tanzanite umepigwa stop na JIWE.

Yapaswa tuwe wakweli kwa manufaa ya Nchi yetu

Tuache kujifariji kwa data za kupika
Wacha mkuu walipumbumbaze taahira lao!
 
Back
Top Bottom