Ukuta wa Mirerani wakusanya shilingi bilioni 2

Mimi nipo ndani ukuta huo cjaona kitu cha kukusanya mapato hayo acheni propaganda,
Mkuu waache tu wajifariji kwa kutoa figure za uongo ili kuwapumbaza walio mbali na maeneo hayo.

Wachimbaji wadogo na hata wale wakubwa wamesitisha uchimbaji kwa muda tu sasa wako mitaani. Mirerani sio Ulaya hivyo huhitaji visa kufika pale. Mnaweza kwenda kujionea wenyewe kisha mrejeshe huo ushabiki usio na tija.
 
Mimi leo nije niseme nimeota Taifa stars wameshinda, halafu nakwambia prove kama nadanganya!
Hujaeleweka ndugu, uzi umesema mapato yameongezeka, ni facts tunazopewa na serekali, i am sure CAG atakuwa anapata reports, na kwenye mahesabu ya serekali yataonhyesha, kama haikuwa hivyo we will have to query na kuilaumu serekali kwa kutoa information za kuhada umma. We have to give them benefit of doubt first.

Ndugu kwenye hili hapana ndoto, kama unapinga takwimu zao, tuletee ulizo nazo za ukweli nasi tutakuunga mkono, tusiwe taifa la bora kupinga tuu.
 
Mkuu waache tu wajifariji kwa kutoa figure za uongo ili kuwapumbaza walio mbali na maeneo hayo.

Wachimbaji wadogo na hata wale wakubwa wamesitisha uchimbaji kwa muda tu sasa wako mitaani. Mirerani sio Ulaya hivyo huhitaji visa kufika pale. Mnaweza kwenda kujionea wenyewe kisha mrejeshe huo ushabiki usio na tija.
At least wewe umetolea mfano uliopo, kuwa hapo machimboni kazi haziendi. Kuliko wanaopenda kupinga kila kitu bila ushahidi wowote.
 
Ukizingatia watz haturuhusiwi kuhoji takwimu basi wote tuseme ndioooo
 
Hujaeleweka ndugu, uzi umesema mapato yameongezeka, ni facts tunazopewa na serekali, i am sure CAG atakuwa anapata reports, na kwenye mahesabu ya serekali yataonhyesha, kama haikuwa hivyo we will have to query na kuilaumu serekali kwa kutoa information za kuhada umma. We have to give them benefit of doubt first.

Ndugu kwenye hili hapana ndoto, kama unapinga takwimu zao, tuletee ulizo nazo za ukweli nasi tutakuunga mkono, tusiwe taifa la bora kupinga tuu.
Tatizo CAG na serikali hawana kauli moja, mfano 1.5 trillion iko wapi?
 
1.5 t ni pesa kubwa sana hawezi potea, hao wajinga walikosea hesabu zao za kijibga, na kama lina ujinga utakuja hadharani, wajibu wetu ni kuwa na kumbukumbu.
 
Hujaeleweka ndugu, uzi umesema mapato yameongezeka, ni facts tunazopewa na serekali, i am sure CAG atakuwa anapata reports, na kwenye mahesabu ya serekali yataonhyesha, kama haikuwa hivyo we will have to query na kuilaumu serekali kwa kutoa information za kuhada umma. We have to give them benefit of doubt first.

Ndugu kwenye hili hapana ndoto, kama unapinga takwimu zao, tuletee ulizo nazo za ukweli nasi tutakuunga mkono, tusiwe taifa la bora kupinga tuu.
Tia proof kuwa hizi no takwimu za Serikali!!
 
Kwa mwezi au Mwaka?
Kama ni kwa mwezi basi ndani ya Mwaka mmoja serikali inaweza kukusanya karibu ya bil 25,hii ni hela inayotosha kabisa kujenga mradi mkubwa wa maji amvao utatosha kuhudumia wakazi wa Simanjiro kama hawana Maji ya kutosha.Hii kitu ndio Paul Makonda huita uongozi unaoacha alama.
Vipi ile 1.5 trillion pamoja na nyingine ineibuliwa juz bungeni 2.5 trillion? Kwa pamoja 4 trillion fikiria aliyeziiba akiziweka kwenye miradi ya maji
 
Back
Top Bottom