Ukurasa wa tovuti ya matokeo ya form 2 NECTA haina viwango

Gmark

Senior Member
Nov 6, 2015
138
30
Yaani hii Web page imewekwa majina ya shule Bila alphabet order, nimetafuta musoma utalii sec mpaka nimechoka, siipati. Hakuna search box, inatutesa hii na kula Muda mrefu kutafuta jina moja tu. Pia registration number za shule hazijaambatanishwa! Vipi IT Hapa!
www.necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htm
 
Mkuu, hawa NECTA ni hovyo kabisa.
Mimi mwenyewe nimetafuta jina la shule husika nimekosa kabisa, nimekereka saana. Hawajapanga kiherufi wala kwa namba za usaili wa shule.
 
Mnatumia vifaa gani kuangalia? Bila kuleta utaalamu hebu fanya hivi kama unatumia computer, wewe control f tu utaona hiyo search box
 
Back
Top Bottom