Ukumbi wa Mawingu Club Arusha ni kituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukumbi wa Mawingu Club Arusha ni kituko

Discussion in 'Entertainment' started by Quemu, Nov 20, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hawa wahusika wa hii club wamekuwa kwenye entertainment business for decades. Lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajui (au hawataki) kwenda na wakati kwenye fani ya entertainment industry.

  Yaani wanathubutu kuita lile godauni ndio ukumbi wa disco. Zaidi ya maandishi makuuuubwa nje yanayotambulisha disco lao, hamna kingine chochote cha maana kinachotoa sifa ya kuitwa club ya disco. Ukiingia ndani hamna manjonjo yoyote ya maana yanayokufanya ujisikie uko club. Kule ndani kuko kama godauni lenye bar na maspika kila kona.

  Hebu tuweni serious kidogo kwenye mambo ya quality and stuff.
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kwani disco lazima iwe mawingu club jamani. Hapakuridhishi timua. Wateja siku zote ndio wanaoentertain huduma mbovu. Hebu watu wasiende disco hapo kama hawatapatengeneza fasta fasta.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Nov 20, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  kweli mwanamke.......
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM, chunga tu usije itwa a hater pia...

  btw, je Mawingu unaowataja ndio walewale wa Seventh floor enzi zile, au ni transformation after transformation za management, hivyo waweza kukuta kuwa wala HQ yao hawana na habari na hiyo "godauni" au wamiliki wa disko ulilolitaja... not the foggiest just a view.
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  huchoki nifatafata, sijui nimekukosea nini wee nyani.
   
 6. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sawa mama! Lakini sidhani kama kuna wateja wa maana wanakwenda pale tena. Ukiingia mle ndani unaweza kuogopa kwa kudhani kila mtu mle ndani ana panga kiunoni (if you know what I mean)...lol! Ukifika Arusha ukauliza club mzuri, nakuhakikishia Mawingu haitatajwa. Cha kushangaza ni kwamba hii club pengine ni club kongwe pale mjini. Kwa hiyo nilikuwa nategemea watajidhatiti na kwenda na wakati.

  Oh well, I guess bado tunaendeleza ule ule mfumo wa mwaka 47...ili mradi wateja wanakuja basi kwa nini tuiingie gharama za uboreshaji...!!! It's absolutely a shame.
   
 7. M

  Mama JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Labda ndio kutaka ujiko kwamba wanamiliki ukumbi wa disco? Watafute m-bia hapo. Vinginevyo kuna biashara zaidi ya disco, wanawezaje kusustain kulipa kodi na wafanyakazi ilhali hakuna wateja wa maana?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 20, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hujanikosea kitu.....wewe nipe tu na kila kitu kitakuwa mswano
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mama mpe radhi huyo Nyani aokote makopo na atembee bila nguo!!! I cant imagine Nyani kuwa kwenye utupu wake mitaani....
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Nov 20, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You damn right!!!!!!!!!
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Si ungesema sasa, domo zito kama nyani. Haya anza kunawa na uendelee kunawa hadi baadae
   
 12. M

  Mama JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Ona alivyokubadilishia quote, watu wengine wana mawazo ya nyani halisi.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Nov 20, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Cool....sasa utanipa baadae...?
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hapana, we nawa tu na uendelee kunawa hadi baadae. Halafu ukome kuniandikia hizi habari kwenye thread za watu, nilishakuambia na inaonekana wewe ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau kuwa waweza niachia visitor message. BS.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Nov 21, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Visitor message wapambe na wachawi wengi....vipi PM?
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  utajiju nyani wewe, NO PM, only visitor message.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Nov 21, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mama...I lo u....
   
Loading...