UKUMBI WA HARUSI, UNAHITAJIKA! plz help!

UKUMBI WA HARUSI, UNAHITAJIKA! plz help!

WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!

Tupe bajeti ya Harusi yako tujue ni shs. ngapi ili tukupe ukumbi unaoendana na bajeti yako
 
tbs ubungo karibu na stendi ya mkoa wana ukumbi wa wazi tsh laki 6
 
UNDENIABLE kumbe kuna ka shughuli unakaandaa kimya kimya hujanijuza
nakutengenezea surprise baby wangu! we endelea kucomment JF! imba huu wimbo: mimi na wewe ........... sasa endelea!
love you so much my mbingu duniani!
We Heaven on earth Alikudanganya anataka akuwowee wewe nini...!! maana ulivyoshutuka, utafikiri umeota unakufa kwenye zile ndoto ambazo huwezi kukimbia na wenzio wanakuacha huku muuwaji anakukaribia
thubutu, nimdanganye nina kifua! mambo nayopata nahisi nimemu-overtake shetani! rahaaaa!! hasa pale 6 by 6! mtelezo wake bhana weeeeeeee nakumbuka kuna siku limanusura nizimie, lakini kidume nikajikausha nisitukiwe! kitu jotoooooooo!
Kuna ukumbi wa Brajec...TPDC zamani- Mikocheni karibu na Rose Garden. Huwa una affordable price kwa both drinks and Menu. Una uwezo wa kubeba watu 150,000. Bila shaka utakufaa kwakuwa bei ya ukumbi nayo ni sawa na bure. Watakuanzia na laki 5 lakini hata laki 3 wanachukua. Nami natarajia kufanya reception party yangu soon. Utembelee ukauone na ujiridhishe pia.
ahsante sana mkuu!
yaani Ngalikihinja ilibaki kidogo ni:faint:
surpriseeeeeeeeeeeee..... relax baby wangu! only me and you kwenye ulimwengu maloveeee!!!

Hamia Airtel (kwangu)...
toka pepo....toka! toka! toka! toka! moto! moto! moto! pepo wa kumuhamisha baby wa mtu bahamie airtel! moto! moto! toka! toka! mkuu nimekemea pepo iliyokuingia, sijakukemea wewe! najua ni pepo tu iliyopo ndani yako!
 
mmmmmmmh airtel tena.......
ngoja niendelee kukomaa na huu huu mtandao wangu!!!!!!
ahsante sana wangu wa ukweeee! ahsante sana!
Mtandao wako si huo unaowa? Au unarudi ubachela.... Acha hizo, ila nijuwavyo wote wanaanzaga kukataa, lakini baada ya muda, kitu na boksi
hapo underlined mkuu< sio Heaven on earth, labda wengine!
labda anataka kunisuprise UNDENIABLE wangu.......

we mziki wangu nahisi huwezi kuucheza

yeah a big surprise! mziki wako mkubwa balaaa ndio maana nakupendaga hadi nadata, ila sasa usiwe unasema hapa hadharini jamani, wanaume wa jf si watu wazuri kabisa!
tbs ubungo karibu na stendi ya mkoa wana ukumbi wa wazi tsh laki 6
ahsante sana mkuu wangu!
 
Last edited by a moderator:
Jaribu pale lugalo jeshini, ukumbi bei poa, vinywaji bei chee, unafaa kama kipato chako kinasumbuasumbua
 
Last edited by a moderator:
WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!
Asante sana mkuu UNDENIABLE kwa kutupa kipaumbele wanafamilia yako ya jf na hivyo kutushirikisha kwenye jambo hili muhimu sana ila kwa mimi siko Dar so ningeshauri ufuate ushauri wa ladyfurahia,hope utakusaidia sana,nakutakia kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Kama anaitaji ukumbi anipm ili nimpe maelekezo zaidi ya kupata huo ukumbi
asante sana mkuu undeniable kwa kutupa kipaumbele wanafamilia yako ya jf na hivyo kutushirikisha kwenye jambo hili muhimu sana ila kwa mimi siko dar so ningeshauri ufuate ushauri wa ladyfurahia,hope utakusaidia sana,nakutakia kila la kheri.
 
Nipm nikuelelekeze mahali ukumbi wa open spacewaweza pata na kuhusu mambo ya kadi mm ni mtaalamu wa kutengeneza kadi za harusi, na pia ninatengeneza keki za harusi, au ndafu, nafanya decoration na pia ni mc nina muziki wangu huduma hizi kama unahitaji nipm tufanye kazi zaidi je uko serious bestito?
wanajf wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, heaven on earth, earth on heaven, himidini, blue g, mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

Ahsanteni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom