UKUMBI WA HARUSI, UNAHITAJIKA! plz help!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Njoo hapa kanisani Usinge....kuna ukumbi mzuri sana.
 
WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!
Hiyo shughuri unataka kuifanyia wapi? mkoa gani? Na bajeti yako kiasi gani?
 
ayaaaaa nilipitiwa kutaja wapi nipo! samahani sana! nipo dsm mkuu! bajeti sio kubwa mkuu, ya kawaida tu! what matters much ni bei ya ukumbi na madhari yake mkuu!!
karibu!
 
Urambo huku mkuu...kama unaenda Uvinza...

duu sasa mm nipo dsm mkuu wangu!
Usinge ni sehemu ya mkoa wa Tabora. Kumbi nyingi hapa Dar zinarange kati ya 1.5M to 2.5M kwa zile za kawaida... Makuti au mabati hall pale JKT mfulani

mamaaaaaaa kashughuli kenyewe mkuu kana bajeti ndogo sana! kwa bei hiyo tunauana mkuu!!
 
ukumbi umeshapata ni wewe tu uangalie bei zake uko ukumbi hapa mango garden vijana social hall una hali nzuri na sehemu ya kuegesha magari pako, kuhusu bei mnaongea kwani hawana bei ghali sana, na \
kwingine ni mwenge kuna oopen space nzuri sana pale karibia na kanisa la kakobe wanaanzia shs 200,000/= na maongezi yako,
Vilevile usinisahau mm ni nafanya huduma za kutengeneza keki za harusi, kupamba kwenye makumbi ya harusi, kutengeneza KADI ZA HARUSI ukitaka sample nitakuletea kama uko dar na pia ni MC hivyo ikifikia september njooo uone huduma zangu utafurahia na kuienjoy karibu sana
WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!
 
Ukipata ya open space unishtue na mimi harusi yangu 2016...!
 
ukumbi umeshapata ni wewe tu uangalie bei zake uko ukumbi hapa mango garden vijana social hall una hali nzuri na sehemu ya kuegesha magari pako, kuhusu bei mnaongea kwani hawana bei ghali sana, na \
kwingine ni mwenge kuna oopen space nzuri sana pale karibia na kanisa la kakobe wanaanzia shs 200,000/= na maongezi yako,
Vilevile usinisahau mm ni nafanya huduma za kutengeneza keki za harusi, kupamba kwenye makumbi ya harusi, kutengeneza KADI ZA HARUSI ukitaka sample nitakuletea kama uko dar na pia ni MC hivyo ikifikia september njooo uone huduma zangu utafurahia na kuienjoy karibu sana

ok nimekupata mkuu! nimekuPM!
 
Usinge ni sehemu ya mkoa wa Tabora. Kumbi nyingi hapa Dar zinarange kati ya 1.5M to 2.5M kwa zile za kawaida... Makuti au mabati hall pale JKT mfulani

true hizo ndio bei za kukodi ukumbi Dar......
hata zikitofautiana ni kidogo sana
 
WanaJF wenzangu!

Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!

Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!

Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!

Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!

ahsanteni sana!

Kuna ukumbi wa Brajec...TPDC zamani- Mikocheni karibu na Rose Garden. Huwa una affordable price kwa both drinks and Menu. Una uwezo wa kubeba watu 150,000. Bila shaka utakufaa kwakuwa bei ya ukumbi nayo ni sawa na bure. Watakuanzia na laki 5 lakini hata laki 3 wanachukua. Nami natarajia kufanya reception party yangu soon. Utembelee ukauone na ujiridhishe pia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom