Majaaliwa tu hayo....mbona mtu akiwa na nanii kuubwa anaona fahari! Japo wengine ukimsifia nani yako kubwa nakasirika anataka aambiwe ndogo....mimi nachanganyikiwa, wengine vikubwa wanapenda wengine wanapenda vidogo, hata kama yeye ni mkubwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.