Yanga tulimpa Mayele ukubwa fake

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,393
5,241
Sisi mashabiki wa Yanga tulimvika Mayele ukubwa ambao hakustahiki

Tulimwimba mno lakini me nilimwona ni mchezaji wa kawaida sana

Kuna strikers walikuja Tanzania wakafanya makubwa lakini hawakuimbwa

Tujikumbushe Tambwe, Kagere, Ngoma nk ambao kwa vipaji vyao Mayele asingeona ndani.

Walikuja wakakiwasha muda ukaisha na tukawasahau.

Yaani Mayele amekuwa top scorer ana mabao 13 wakati akina Kagere na Tambe walitupia 20+ wako kimya huyo mkongo ameanza taarabu.

Ameenda Egypt huko hatukuzwi inatakiwa apambane hawezi anakumbuka uku akiwafunga Mbeya City anatetema kama generator bovu anashangaliwa, sasa huko kuna mashabiki serious wanampuuza.

Wanayanga tumpuuze huyo jamaa ni mchezaji wa kawaida na huko Egypt anatoka tutamsikia yupo Tabora United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayele ni mchezaji mzuri na aliyekamilika, ila kwa hizi akili alizonazo sasa hivi zitampoteza na kumuharibia hadhi yake yy mwenyewe. Anaacha kukomaa kwa ajili ya kurudisha kiwango chake anawaza mawazo ya nyanga.
 
Mayele ni mchezaji mzuri na aliye kamilika, ila kwa hizi akili alizo nazo sasa hivi zitampoteza na kumuharibia hadhi yake yy mwenyewe. Anaacha kukomaa kwa ajili ya kurudisha kiwango chake anawaza mawazo ya nyanga.
Kama ni striker alokamilika tutamwona nje ya Yanga atafanya nini
Ni mchezaji wa kawaida mno hata pyramid walikurupuka kumsajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni striker alokamilika tutamwona nje ya Yanga atafanya nini
Ni mchezaji wa kawaida mno hata pyramid walikurupuka kumsajili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa kurupuka kwa kiwango alicho kionyesha misimu miwili na kwenye Confederation sina shaka nacho na ndio maana ofa zilikuwa nyingi kwake kutoka timu kubwa. Kumbuka hizi timu kubwa zina mascout ambao wanaujua mpira.
 
Sisi mashabiki wa Yanga tulimvika Mayele ukubwa ambao hakustahiki
Tulimwimba mno lakini me nilimwona ni mchezaji wa kawaida sana
Kuna strikers walikuja Tanzania wakafanya makubwa lakini hawakuimbwa
Tujikumbushe Tambwe, Kagere, Ngoma nk ambao kwa vipaji vyao Mayele asingeona ndani
Walikuja wakakiwasha muda ukaisha na tukawasahau
Yani Mayele amekuwa top scorer ana mabao 13 wakati akina Kagere na Tambe walitupia 20+ wako kimya huyo mkongo ameanza taarabu
Ameenda Egypt huko hatukuzwi inatakiwa apambane hawezi anakumbuka uku akiwafunga Mbeya City anatetema kama generator bovu anashangaliwa, sasa huko kuna mashabiki serious wanampuuza.

Wanayanga tumpuuze huyo jamaa ni mchezaji wa kawaida na huko Egypt anatoka tutamsikia yupo Tabora United

Sent using Jamii Forums mobile app
anayoyaibua sasa ni mwanzo wa mwisho wake...

hana maajabu tena uwanjani, nafasi ya kucheza aliko ni finyu, ya ushindani isiyodumu na hana uhakika, umri, nguvu na wepesi uwanjani unayoyoma taratibu, hana furaha.

Anachokifanya ni kujaribu kukusanya visingizio vya kujifichia baadae....

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Umenena kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni makelele tu, Yanga kweli miyeyusho🤔.
Jamaa ni striker bana, kumbuka kafanya vizuri wakati ligi ikiwa ngumu. Sawa wanamzidi magoli lakini jamaa ana vitu vingi uwanjani pia.

Ka prove hata huko CAF Confederation.
 
Sisi mashabiki wa Yanga tulimvika Mayele ukubwa ambao hakustahiki

Tulimwimba mno lakini me nilimwona ni mchezaji wa kawaida sana

Kuna strikers walikuja Tanzania wakafanya makubwa lakini hawakuimbwa

Tujikumbushe Tambwe, Kagere, Ngoma nk ambao kwa vipaji vyao Mayele asingeona ndani.

Walikuja wakakiwasha muda ukaisha na tukawasahau.

Yaani Mayele amekuwa top scorer ana mabao 13 wakati akina Kagere na Tambe walitupia 20+ wako kimya huyo mkongo ameanza taarabu.

Ameenda Egypt huko hatukuzwi inatakiwa apambane hawezi anakumbuka uku akiwafunga Mbeya City anatetema kama generator bovu anashangaliwa, sasa huko kuna mashabiki serious wanampuuza.

Wanayanga tumpuuze huyo jamaa ni mchezaji wa kawaida na huko Egypt anatoka tutamsikia yupo Tabora United

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacheni kurukaruka kama popcorn,ondoeni majini yenu.
 
Ndio ifikie hatua mkatupia majini ,tumelia sana,tumeumia sana.
 
Kiukweli mayele kazingua sana mbona chama alipiga kona iliyozaa bao la kusawazisha ila hatukùona popote anakebehi kama alivyokafanya yeye baada ya kuisha mechi ya Tanzania na congo? Hapa afrika mashariki watanzania wanaongoza wakiamua kukutoa kwenye reli kwa kutumia social media
 
IMG-20240214-WA0039.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom