Ukubwa wa pua.........

Ukubwa wa pua.........

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,827
Reaction score
1,314
pua.jpg
 
ha ha ha, jamani wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba ati.
mwenzangu huko ulikokuwa jana usirudi tena, maana duh...........!!!!!!!!!!
 
dah jamaa ana ngoma 52" flat skrini. itakuwa hata harufu ya kikwapa cha jirani jamaa anaiskia. fulu mnuso magnet.
 
Ukiwa na pua kama hii waweza nusa harufu ya pilau mtaaa wa saba!
 
Jamani huu sasa ulemavu, nasikia huyu jamaa kwao ndo anaonekana kuwa na pua ndogo!
 
Majaaliwa tu hayo....mbona mtu akiwa na nanii kuubwa anaona fahari! Japo wengine ukimsifia nani yako kubwa nakasirika anataka aambiwe ndogo....mimi nachanganyikiwa, wengine vikubwa wanapenda wengine wanapenda vidogo, hata kama yeye ni mkubwa!
 
Duuuh!!! kama haijawa doctored, basi jamaa amejaali!!!
 
Angeweza kupunguza kipande kidogo kutoka kwenye pua yake akaongezea kwenye sikio lake la kulia.
 
Back
Top Bottom