Ukomo wa Rais kugombea uondolewe. Maadam atakuwa na sifa, agombee bila kikomo

Tusio na chama hatukubali ujinga huo mbakie nao kwenye vyama vyenu.
 
Mpeni makalio basi kama mnampenda kiasi hiko.
mnaounga mkono hoja mfu kama hii mlistahili kuishi miaka ya 50. Hivyo kama mko chini ya 40 poleni sana. Hiyo ndo kazi na matokeo ya uwekezaji ktk elimu wa ccm.
 
Haya mambo ya kuota na kutamani kubadilisha vifungu vya katiba ili tu kumuaccomodate mtu mmoja ni hatari sana. Uganda na Zimbabwe wanajutia maamuzi yao kimtindo.

Yaani hata zile trillioni 108 zenu bado hamjapata, tayari mpo excited. Why?
 
Yamefanyika kwa baadhi ya Nchi na tumeona faida zake kiuchumi.. kwa Afrika liko wazi sana kwa Rwanda Uganda hata hiyo zimbabwe mnayoisema hovyo.!
Kwa ulaya ni vema ukatujulisha Bibi Angel mackel wa Ujerumani ni waziri mkuu kwa miaka mingapi sasa na je wanapungukiwa nini.. au putin wa Urusi amekaa madarakani kwa muda mrefu kiasi gani na athari zake ni zipi....
tumeona athari za kubadirisha uongozi kwa kampeni toka marekani zinavyoigharimu Afrika.
Tunasema hatutaki tutafanya vile ilivyo sahihi. Kwetu..
 
..Kwa ulaya ni vema ukatujulisha Bibi Angel mackel wa Ujerumani ni waziri mkuu kwa miaka mingapi sasa na je wanapungukiwa nini..

So unataka kusema Germany walibadilisha katiba yao ili bibi Merkel aongoze zaidi ya muda uliopangwa (and we can do the same...) au kwa kuwa wao wamefanikiwa kimaendeleo na sisi kasi yetu ya maendeleo itachupa kwa rocket speed kama tutamruhusu Magu atawale miaka 20?
 
Kuhusu katiba yao sihitaji kufahamu kuhusu kiongozi kukaa madarakani muda mrefu huo ndio muelekeo wangu na bila shaka ujerumani wamekuwa na chaguzi mara kadhaa na bado Bibi Angel mackel amechaguliwa na kuendelea kuongoza huo ndio mtazamo wangu.
hapa kwetu tutaendelea kuwa na chaguzi bila ukomo wa rais kama watu wakimkataa kwa wingi itakuwa sawa lakini wakimkubali hakuna haja ya kumuondoa.
 
Haya mambo ya kuota na kutamani kubadilisha vifungu vya katiba ili tu kumuaccomodate mtu mmoja ni hatari sana. Uganda na Zimbabwe wanajutia maamuzi yao kimtindo.

Yaani hata zile trillioni 108 zenu bado hamjapata, tayari mpo excited. Why?
Mkuu, mbona hizi extensions tayari tunazo kwenye vyama vyetu vikiwemo vya upinzani? Kwani unadhani ni kitu kigeni kihivyo!
 
mnaounga mkono hoja mfu kama hii mlistahili kuishi miaka ya 50. Hivyo kama mko chini ya 40 poleni sana. Hiyo ndo kazi na matokeo ya uwekezaji ktk elimu wa ccm.

Tuko pamoja mazee ni tungo tata kuepuka mkuu wa wilaya kutoa masaa 48. ... ;)
 
Back
Top Bottom