Unajitekenya huku unacheka..katiba inatoa Uhuru wa kutoa mawazo(freedom of expression) na association pia,yeye anakataza mikutano na maandamano huku akiwa wakwanza kuifanya tena kwa kuwaponda wapinzan..wajinga kama weww ndio wanaoamin hamna udikteta.
Hilo neno 'Uchwara' ni 'abusive language' ni Lissu asipoangalia atapatikana na hatia kwa kosa la kutukana.naona hukumuelewa lissu!!hakumuita dikteta kamili,alimuita dikteta uchwara.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Acha ushabiki wewe, Elimu imeimarika wapi wakati Elimu bure hata mitihani ya mock kwa sasa hakuna, Afya imeimarika wapi wakati Hospitalin hakuna chanjo, madawa hakuna, au we unaishi nje ya Tanzania1.Kuudhibiti ufisadi
2.Kuasisi mmahakamaya mmafisadi.
3.Kudhibiti MMatumizi.
4.Kusimamia nidhamu ya utumishi wa umma.
5.Kufufua ATC,TRL,Meli....Nk
6.Kuimarisha huduma za afya,elimu nk.
7.Kuongeza mapato ya serikali nk..

Njaa ilianza na Chadema. Kumkubali Lowasa katika genge Lao.. Mtu waliomsema miaka zaidi 8 kua ni fisadi na kusema wana ushahidiNjaa mbaya sana, kama mtu mzee kama wewe unajidhalilisha kiasi hiki, basi kazi ipo! Nime-kuignore to the maximum! Fred Mpendazoe
Unataka kusema mikutano ya tarehe 1 September imeruhusiwa au hiyo siyo mikutano?Lkn...ni kweli mikutano imekatazwa?
...mbona tunapata taarifa mikutano inayoendelea?
...hata sasa CUF wako kwenye mikutano yao mchakato wa kujichagulia viongozi wa vyama vyao....CDM na CCM pia tumepata taarifa za mikutano yao!
.....lazima tujielimishe, tukishafundishwa, ili tuijue kweli na tusimame nayo!
Kwa hiyo Ndugu uliekua Mheshimiwa Rais kukataza mikutano huoni ni kinyume na katiba aliyoapa kuisimamia?
Sehemu gani ya katiba aliyoivunja?Apambane na kila kitu lakini asivunje katiba.
Mkuu hebu ishee hapa basi hiyo MakalaIle makala yako ya Lowassa tusamehe ungali unaiamini?
Hahahah ajizi ni nyumba ya njaa!!!
Utadhalilika sana mbele ya watoto wako.
1.Kuudhibiti ufisadi
2.Kuasisi mmahakamaya mmafisadi.
3.Kudhibiti MMatumizi.
4.Kusimamia nidhamu ya utumishi wa umma.
5.Kufufua ATC,TRL,Meli....Nk
6.Kuimarisha huduma za afya,elimu nk.
7.Kuongeza mapato ya serikali nk..
Hii ni post no .130, Jun 7, 2010.
....masikini Mpendazoe kapotea maboya kadanganyika, wanamsifu machoni huku wakimcheka moyoni. Wanampa moyo ashughulikie usajili, awe ndio msemaji na wao wako nyuma yake, kumbe moyoni wanajua fika hawajiunga nae, time will tell, na Mpendazoe atakapo ujua ukweli, atauweka bayana, by that time wenzake watakuwa wamerejea bungeni kwa tiketi za chama kile kile, huku yeye akiend-up with frustrations na kuishia kurejea CCM kwa aibu.
Hii ni sawa na vita ya Sadam wa Iraq na USA, Askari wake baada ya kushindwa kupambana msituni walivua mavazi ya kivita wakabaki kuwa Raia wapambanaji,Vyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli?, lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri.
UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Ikowapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumuLowassa Kwa muda mrefu kuwa no fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao udhahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.