Kuzuia bunge kuwa huru ni 'vitu vidogovidogo'?
Kufungia vyombo vya habari na kuviamuru habari ipi iandikwe na ipi isiandikwe
ni 'vitu vidogovidogo'?
kweli 'politics of the stomach'ni very very dangerous
Fred MpendazoeVyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Mleta maada elewa hoja kuu ya ukawa ni kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa mpaka 2020, kwa hii awamu mpya. Wakati katiba haijabadilika na uongozi uliopita wapinzani walikuwa huru mikutano ya kisiasa.
Watu wakipagawa na Ibilisi ni kawaida kutamani kukata vichwa vya wenzao. Kwani Shetani anajua thamani ya mtu? Nasema tena narudia nyie ni Interahamwe, mnamchochea Rais awauwe Watanzania, Hamtaweza. Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu na dunia hatawaruhusu kutekeleza uhayawani wenu. Wazee wetu walihangaika kuijenga nchi kwa ustaarabu wa kisomi, ninyi mnaleta mabavu na matamko yasiyotumia hata chembe ya hoja zenye mashiko. Mtakwama tu.Waliwahadaa watanzania kuwa Lowassa ni fisadi toka 2007 pale Mwembeyanga leo hii wanatuambia eti walitumia report ya Mwakyembe ambayo ilitoka 2008,huu si upumbavu?
Leo hii wameanza tena kutuimbia ngonjera nyingine kwamba Magufuli dikteta kama walivyofanya kwa Lowassa.
Huwezi kuwapumbaza watu wote kwa muda wote.
Dikteta gani hatujasikia hata mkosoaji mmoja wa serikali yake kaokotwa bila kichwa?
Leo hii watu mnaharisha tu mnavyojisikia sababu mnajua mtapelekwa mahakamani,hebu nendeni hata Bunjumbura tu hapo mkaulize waandishi wangapi wameokotwa mizoga ndani ya mwezi huu.
Nashagaa Ndugai naye analeta habari ya maridhiano huko bungeni.
I've never seen people negotiating with hooligans!!
habari nduguVyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Asante Nguruvi3, Haya ni maneno yake mwenyewe aliyowahi kuandika dhidi ya uongozi wa CCM na Serikali yake; "Mawe yaliyoko mtoni hayawezi kuijua kiu ya mtende ulioko jangwani". Kweli leo hii Fred haijui kiu ya Watanzania juu ya demokrasia ya kweli!!!Fred Mpendazoe
Kwanza kabisa naomba nionyeshe masikitiko yangu kwa kauli zako.
Ni mmoja wa watu waliodhani kama tuna Watanzania wanaoiangalia Tanzania kwa jicho la nchi na Taifa wewe ni mmoja wapo.Hakika wasi wasi wangu umenitoka
Mpendazoe, lazima uelewe nchi inaendeshwa na sheia si baraza la mawaziri au chama.
Hivyo ni vyombo viavyomsaidia Rais kufikia maamuzi lakini si vyombo vilivyo juu ya sharia
Kinachopiganiwa na wengi si demokrasia ya vyama, ni demokrasia ya wananchi. Unless unajizuia kuelewa upana wa demokrasia, napenda nikufahamishe demokrasia si suala la chama, kupiga kura, au kuhama chama au kuteuliwa. Demokrasia ina upana sana mbali ya siasa
Marufuku ya mikutano hayakutolewa na CCM au baraza la mawaziri.
Nikukumbushe kidogo
1. Waziri Mkuu akiwa jimboni alisema wenye haki ya kufanya mikutano ni walioshinda si walioshindwa. Hapa ni kabla ya baraza la mawaziri halijatangazwa.
Na wala CCM haijabadili uongozi. Unaposema ni ushauri wa baraza la mawaziri, au CCM unapotosha umma na kutueleza ufahamu wako wa mambo ya nchi
2. Marufuku ya mazishi ya mawazo kule Mwanza yalitolewa na Polisi.
Hakukuwa na kikao cha baraza la mawaziri au CCM.
Mazishi kama hayo yaliurhusiwa kwa Beatrice Shelukindo bila kikao cha baraza la mawaziri wala CCM. Kama unadhani baraza la mawaziri lina kazi ya kuratibu mazishi, unatupa habari nyingine...
3. Marufuku ya kipindu pindu yametolewa na Polisi. Si wizara ya afya, idara ya afya au mtu mwingine. Hakukuwa na kikao cha baraza au CCM. Unatueleza kitu gani?
4. Marufuku ya mikutano mingine iliyofuata yaliyotokana na Polisi na siwezi kuorodhesha
5. Rais alipiga marufuku kwasababu ya kuwapa watu nafasi ya kufanya kazi.
Ingawa mikutano yake imejaza watu hakuna ushahidi watu hao walikuwa kazini
6. Rais akasema mikutano inachagizwa na nchi za magharibi ili zipate fursa ya 'kuchukua'rasilimali zetu. Alsema hayo kanda ya ziwa
7. Marufuku yalitokana na siasa ziachwe hadi 2020
Kwasababu hizo hapo juu, eleza jamvi hili, ni ipi hasa inayozuaia mikutano
Mpendazaoe, haki ya mikutano ipo kikatiba na ipo katika sheria za usajili wa vyama.
Nilitegemea utoe ushahidi wa sheria kuonyesha uhalali wa marufuku hayo
Kinyume chake unaeleza umma ni baraza la mawaziri na CCM.
Kama ni CCM na baraza la mawaziri, tueleze ni kwa sheria gani ya nchi haki ya mrufuku ya mikutano imetumika?
Mpendazaoe, usiingize hoja za ufisadi kupindisha hoja muhimu.
Hujaweza kutueleza sheria gani imetumika, unachokifanya ni kubabaisha umma
Harakati zako mitandaoni katika kujenga jina zinaweza kukusaidia kupata uteuzi, kwa bahati mbaya zinazidi kujenga chuki isiyo ya lazima kwa sehemu ya jamii
Zinazidi kuchochea hasira kwasababu unapofanya watu wajinga, huwatendei haki
Umerudi CCM ni haki yako , lakini usitumie haki hiyo katika kuleta farki ndani ya jamii
Nakuomba ueleze jamvi, sheria gani imetumika, na katika sababu 7 hapo juu ipi hasa muhimu. Tueleze CCM au baraza la mawaziri lina uwezo gani Zaidi ya sheria za nchi yetu
Please please, ifike mahali uiangalie Tanzania kama nchi na Taifa, usiangalie tumbo lako kwa gharama ya Tanzania.
Apambane na kila kitu lakini asivunje katiba.
Ile makala yako ya "Lowassa tusamehe" ungali unaiamini?
Hahahah ajizi ni nyumba ya njaa!!!
Utadhalilika sana mbele ya watoto wako.
Sio dhambi ila unafiki ndio dhambi... Ukweli gani hapo Kwa mfano? Zaidi ya kupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa?Kusema ukweli ni dhambi?
Vyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Chadema toka wampokee lowassa hawaeleweki wamevurugwaaaVyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Muheshim miwa kila siku ukiwa unatupia hivi nyuzi tatutatu nakwambia huchelewi kuwa mkuu wa wilaya. Naona unakijua vema chama chako na una mbinu kali