Uko wapi.....Nikufate

Kwani nyie bado mpo na mahaba..? Mbona nasikia yalishaozaga na kukauka kitambo kirefu baada ya mali za Bishanga kukamatwa na kupigwa mnada..? Ikafuatiwa na vipimo vya nasaba kuonyesha mtoto hakuwa wa Bishanga..!

Sie kila siku honeymoon kuachana ngumu
 
Last edited by a moderator:
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss

mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea
Angaza hadi leo amekua kimya sana

ujumbe: Milima haikutani binadam hukutana

Nimemkumbuka sana dada yangu kipenzi AshaDii
Huyu Cantalisia nae sijui yuko wapi
Lawyer klorokwini nae sijui wapi
Kuna mdada anaitwa Feisibuku sijui yuko wapi,huenda Kaizer akawa na habari zake Michelle simuni kabisa Gagurito ?????

Ngoja niwakumbuke na wengine nitarudi!
 
Last edited by a moderator:
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss

mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea
Angaza hadi leo amekua kimya sana

ujumbe: Milima haikutani binadam hukutana

Huyu BAK ntamfikishia salamu hizi nilimuona kwa jirani
 
Last edited by a moderator:
Sijamuona siku nyingi babu Dark City

Nae Bishanga sijui kama yupo hai

Hivi mke mwenza cacico yupo kweli?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ahsante sana mdogo wangu. Mimi nipo ila huyu ndugu yetu Bishanga nadhani kahamia Brazil kufanya mazoezi kabla ya kombe la dunia...

Karibu Pasaka huku kwetu....
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mdogo wangu. Mimi nipo ila huyu ndugu yetu Bishanga nadhani kahamia Brazil kufanya mazoezi kabla ya kombe la dunia...

Karibu Pasaka huku kwetu....

Asante babu
Nimefurahi kuona mwandiko wako huku

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…