Uko wapi baba?

Uko wapi baba?

Jamani, anamtafuta baba yake, hayo mambo ya kumkatisha tamaa ni ujinga, kama baba yake amekosa, yeye atamsamehe na siyo nyie, kwanza hajui the other side of story from his father. Anasema hajawahi kumtia machoni!

Kama anaweza kukatishwa tamaa na posts za JF huyo hana nia ya kumtafuta baba yake.

Ujinga ni kutoa jina la mtu usiyemjua publicly bila kujua impact kwake.

Kama huyu mtu anafanya kazi sehemu isiyotaka scandalous characters huoni kumtaja tu in this manner kunamuweka katika hali ngumu?

Vipi kama huyu mtu si baba, kaoa na ana mke member JF? Ndo mnataka wajulie hapa kuzuke vurugu lisilo msingi? Ustaarabu gani huu?

Vipi msichana mliyekosana akija hapa JF na kuanika jina lako kwa uongo au makosa kwamba umezaa naye na kutelekeza mtoto?
 
Pole sana bidada..kuna jamaa mmoja nilisoma nae high school na chuo,alikua akiitwa Emmanuel Rugangira...alikua akiishi Iringa...sijui kama baba yako atakua ni ukoo mmoja na baba wa huyu Emmanuel,au ndiye huyo huyo.......The sad thing huyo Emmanuel alifariki kwa ajali ya basi last year...but km utataka kumfuatilia huyu mzee, nicheki PM nikupe namba ya classmate wangu mwingine ambaye wanaishi jirani na familia hii....
 
Huko sasa ni kurukia kuhitimisha!

Watu hamjui hali aliyonayo huyo atafutwaye. Ikiwa ni mgonjwa aliyepooza je?

Ingekuwa labda inajulikana wazi kuwa huko aliko ni anaponda raha tu hapo ningeelewa kwa nini mnasema hivyo.

Lakini hapa ni kwamba binti hajui huyo anayedhaniwa kuwa ni baba yupo wapi.

Mambo ya nini kitatokea pindi ampatapo hayajulikani. Kama inaweza kuwa balaa pia inaweza kuwa fanaka vilevile!

Na huwezi kujua lipi ni lipi hadi utakapompata.

Kwa kuongezea inawezekana hata huyo baba'ke nae anamtafuta mtoto. Au hajui kama alishawahi kumpa mimba mwanamke huko nyuma kama alikuwa ni mtu wa kupita (Issue kama hii ilishamtokea Anko'angu anakuja kuletewa mtoto ana miaka karibu 20, anaambiwa ni mtoto wake na yeye hakuwa na kumbukumbu zozote kama alishawahi kumpa mimba msichana hapo kabla. Kumbe yl mwanamke aliipata kipindi hicho jamaa anamaliza A'level na mawasiliano kulikuwa hamna. Alienda kuangalia DNA mtoto wa kwake)
 
Soma original post baba alikuwa na contact na mtoto mpaka miezi sita, akasepa. So it's not like hana sehemu ya kuanzia kama anataka relationship na mwanae.
 
One cannot be him/herself without a father.

To the contrary.

One cannot be oneself without letting go a father.

Even the good book says that in the quest for autonomy and starting a new family one will leave one's parents.

Why the clinging?
 
Nitake radhi.

I doubt you understood.

Umeniomba nikuulize kwa nini, na mimi nimekuuliza kwa nini nikuulize kwa nini?

Sijagusa pombe tangu December 30 2012. Kutokunywa pombe kulikuwa ni New Year's resolution ninayoitekeleza mpaka sasa.

Kama unafikiri Kiranga wa jana ni wa leo utashangaa ukigundua Kiranga anabadilika kila nanosecond.

Ahaa...now I understand the problem!
Em kapate toti mbili tatu alaf urudi humu.
 
To the contrary.

One cannot be oneself without letting go a father.

Even the good book says that in the quest for autonomy and starting a new family one will leave one's parents.

Why the clinging?

How did you come into being?
 
Soma original post baba alikuwa na contact na mtoto mpaka miezi sita, akasepa. So it's not like hana sehemu ya kuanzia kama anataka relationship na mwanae.

Tunapata taarifa gani kutoka kwa mama kuhusu sababu za kusepa. Miezi sita features za mtoto zinaanza kujitokeza vizuri na kawaida ya wanaume race zote za binadamu duniani hatuchelewi kuangalia features. Unadhani pengine baba alihisi mtoto wa kubambika? Akamwacha mama amlee mtoto huyu na huyo bwana aliyempa mimba? Lakini mama hataki kumtaja baba halisi ni nani; labda msukuma-mkokoteni, au ilikuwa mimba ya kubakwa. The mother might be hiding something--and maybe for a good reason. Read between the lines.... Hili linaweza kuwa ni tatizo la mama. Si tatizo la baba.
 
Anything posted on JF is subject to a public debate.

Inawezekana kabisa anachotafuta kutoka kwa baba yake akipate kutoka ndani yake.

Halafu unasema hajaomba ushauri umesoms original post? Unajua kusoma au ndo kati ya wanaoandika bila kujua kusoma?

Public debate maana yake siyo kutoka nje ya mada, huyu mtu anakuomba umsaidie kujua alipo baba yake, si umsaidie kujua kama baba yake ni mhimu kwake! Kaka/dada inawezekana umelewa ndo maana unaropoka, kaa kimya usije aibika! Usituambie inawezekana, mimi siishi kwa assumptions kama wewe! Naamimi wewe ndo haukuisoma original case!
 
Anything posted on JF is subject to a public debate.

Inawezekana kabisa anachotafuta kutoka kwa baba yake akipate kutoka ndani yake.

Halafu unasema hajaomba ushauri umesoms original post? Unajua kusoma au ndo kati ya wanaoandika bila kujua kusoma?

Kiranga, don't rush on issues, soma original post, haujaielewa dogo!
 
Soma original post baba alikuwa na contact na mtoto mpaka miezi sita, akasepa. So it's not like hana sehemu ya kuanzia kama anataka relationship na mwanae.

Kiranga walimu wako walikuwa na kazi ngumu sana! ndo maana hadi leo kuelewa kwako ni tabu!
 
....mnh,

ashakum si matusi, hivi King'asti, hapo ulipo na kwa umri huo upate DNA result kwamba yule mzee
sio Biological dad wako!, huitakuumiza kichwa Baba yako ni yupi na yupo wapi?
Acha bana....

Huyu Binti hajawahi kumuona baba yake mzazi, ana kila haki kutaka kumjua hata kama hatamfaa kwa lolote maishani. It is 'a missing link!' and can happen to any of us na umri huu. :shut-mouth:

hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)

im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu nimeshangazwa sana na majibu ya wadada wote wa humu JF na kaka yao Kiranga.

1. Why are they being so pessimistic?

2. Kwanini wote wanalalia upande wa mama? For one kama mama kweli anampenda binti yake angemkalisha chini na kumweleza yote. LABDA wakati umezaliwa baba yako alikataa kuwa wewe si mtoto wake hivyo akaamua kuondoka. Halafu binti aamue. Lakini eti kumwambia baba yako alikufa mv bukoba gives me doubt juu ya kuhusika kwa mama huyu kwenye mbinu chafu ya kumficha mwanaye.

3. Huyo baba anaweza kuwa na hamu sana ya kujua whereabouts za mwanae but think of it this way: baada ya miez sita akakoroFISHWA na mama mtoto ikambidi ampe nafasi/uhuru..wakati huo mtoto anaitwa bebii. Baada ya mwaka akabatizwa. Different name. Mama akaja kuhama and all that.
Do not discourage the lady...huenda na baba yake pia anamtafuta.

4. HOWEVER: I dont deny the fact kwamba baba mtu aliwatelekeza akawaacha. Hiyo bado haihalalishi yeye kutotafutwa. Mchana huu nimeongea na ndugu yangu niliyemtolea mfano hapo awali nikamuuliza kwanini uliamua kumtafuta baba yako hata baada ya mama yako kukwambia alikataa na kuondoka? Akasema sikumtafuta koz of msaada wowote ama nini...nilipomwona na kumfahamu nikapata 'ahaa' moment. Yani unaelewa why did what you did.

5. Tusiende mbali sana kwenye conclusion ya HATA UKIMPATA ATAKUKATAA tumshauri kwa wanaojua majina ya waliofariki kwenye meli ile yalipo. Then hizo conclusion zenu ziwe tu kama angalizo...kuwa mdogo/mwanetu unapoendelea kumtafuta baba yako beware do not always expect a positive answer from him.
Ila hii ya Kiranga sikubaliani nayo. Knowing both your parents plays a very big role in self realization.

Tumeenda vizuri na hili mbunge la kutafuta baba mpotevu. Ila kitu kimoja ndugu Mentor ningependa kuongezea hapa kuhusu hawa mabinti wa humu JF. Na huyo Kiranga wao.

Mi naona kama wana underestimate sana mapenzi ya baba kwa mtoto. Mtoto anakaa tumboni mwa mama, lakini nakuhakikishia hakuna faraja inafanana na ile unaipata unapojua mtoto huyo tumboni umeweka wewe. Ufahamu ule unapandisha sana thamani ya huyo mama aliyebeba huyo mtoto wako. Furaha inaongezeka mtoto huyo anapokuja kutoka sasa, na wewe unajiona katika huyo. Sasa unakuwa na vitu viwili vya thamani sana katika maisha yako: mama na mtoto wako.

Hapa lazima kulikuwa na conflict ya si mtoto wangu. Hakuna baba mwenye akili timamu atakataa mtoto wake. Pigia mstari neno akili timamu. Mimi namjua mtu ambaye alimzalisha mwanamke mmoja kwa taarifa ya siri kuwa mume alikuwa hana kizazi. Huyu mwanamume aliteta nami akasema hakuna kitu kinaumiza roho yake kama kuona mtoto wake analelewa na mtu ambaye si baba yake wakati haiwezekani kutangaza rasmi nini kilifanyika pale kijijini. Anasema nilifanya kosa sana kukubali kumzalisha mama yule. Anajutia kukosa haki ya kujulikana yeye ndiye baba wa mtoto yule, ambaye hivi karibuni anamalizia masono yake ya Advanced level.
 
How did you come into being?

You are misreading.

Clearly everyone is an offspring of a father. There is no contest there. I don't put much stock in that immaculate conception hoopla.

The logic I'm forwarding is that, for one to be his own man / her own woman, one must focus indide one's self and detach oneself from what he ingested from the mother's chest and father's lap. If only for reassessment.

Hence the biblical anecdote.
 
Mmmmh! Mwanamke una roho ya korosho wewe?! Ni mwanaume gani huyo alikuuzi mpaka ukadevelop chuki kiasi hicho? Khaa...huna hata chembe moja ya uruma?
hahaha. Usinchekeshe mie. Ili mtu ama mwanaume to be specific, aniudhi; he or she really needs to be significant!
Nna misimamo yangu tu ya maisha ambayo inanilinda nisiumie kiukweli. Actually siwezi sema nimepitia maumivu ya maisha kama wengi wetu. I am happy with me and i complete meself,lmfao!
 
Naona bado mnabishana tu ha ha ha!!! muacheni mwanakwetu amsake baba yake jamani...
"Damu ni nzito kuliko maji"

hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)

im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol
 
Last edited by a moderator:
Tunapata taarifa gani kutoka kwa mama kuhusu sababu za kusepa. Miezi sita features za mtoto zinaanza kujitokeza vizuri na kawaida ya wanaume race zote za binadamu duniani hatuchelewi kuangalia features. Unadhani pengine baba alihisi mtoto wa kubambika? Akamwacha mama amlee mtoto huyu na huyo bwana aliyempa mimba? Lakini mama hataki kumtaja baba halisi ni nani; labda msukuma-mkokoteni, au ilikuwa mimba ya kubakwa. The mother might be hiding something--and maybe for a good reason. Read between the lines.... Hili linaweza kuwa ni tatizo la mama. Si tatizo la baba.

Unatafuta tatizo wakati kuna argument kwamba tatizo ni kutafuta tatizo sehemu isiyo na tatizo.
 
hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)

im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol

At least you are honest King'asti. I like honesty. Hii misimamo yako ni mapenzi in reverse; inakuwa hivi, una mapenzi makubwa sana na mtu ambaye alikunyima mapenzi, kwa hiyo unampunish kwa rejection. Ni kama kesi ya mwanamke, au hata mwanamume anapasua windscreen ya gari Benzi kujua mume katembea na mwanamke mwingine. Hapo utasema yule anamchukia mume? No.... anampenda mno.

Love is very strange; its very complex. Una-project hate katika maneno yako, kumbe ukweli hasa ni kwamba you are protesting. Kuna mapenzi ya mtu umekosa na sasa unaprotest. Wewe na huyu anayetafuta baba mnafanana sana, ila mumetofautiana tu approaches!
 
Kiranga walimu wako walikuwa na kazi ngumu sana! ndo maana hadi leo kuelewa kwako ni tabu!

Tahadhari na walio wepesi wa kubeza. Kukosa kuweza kwaweza kuzaa kubeza.

Kuelewa kwangu tabu kivipi?

Sasa hivi wewe ndo hueleweki kwa kutokuwa specific.

Kati yangu na wewe usiyeweza kujieleza, nani ana matatizo ya kuelewa?
 
Unatafuta tatizo wakati kuna argument kwamba tatizo ni kutafuta tatizo sehemu isiyo na tatizo.

Haa! we Kiranga, bado upo kwenye computer tu mpaka saa hizi? Utabishana kuhusu hili mpaka saa ngapi? Ninavyoona wewe sasa ndo unatafuta tatizo kuhusu tatizo linalohusu tatizo ambalo si tatizo. Si ukalale tu sasa! Unajua ni saa tano za usiku saa izi?
 
Back
Top Bottom