You sound like a pessimist to me--on account of your overlooking one extremely important human quality: the ability to forgive.
Inawezekana kabisa mtoto alikuwa accidental conception, which might complicate the picture a little bit. Lakini kama haikuwa accidental, ambayo ndiyo assumption tunayokwenda nayo hapa, sioni ubaya mtoto kumjua baba yake.
Sijakusoma vizuri unaposema "Kujitambua hakuji kwa kuangalia nje. Bali kwa kuangalia ndani." Ni kujitambua gani huko ambako ni selective ya mahali pa kujitambua. Najua kiswahili chetu kina madhaifu mengi katika kuelezea fikra complex. Hili la kujitambua halina complexity yoyote hapa, kwani sioni ugumu unakujaje katika kukubali mtu anao utu wa ndani, ambao hatimaye unazaa utu wa nje, lakini pia kwamba katika sura hizi za utu wa mtu, yapo ambayo yamepatikana katika shule za aina mbalimbali, na yale ambayo ni kurithi.
Maana yangu ilikuwa kwamba mtoto hajafanya kosa kutaka kumjua baba yake kupata justification ya mambo ya kurithi. Hii ni jitihada ya kujitambua.
Nimeongelea habari ya pessimism. Unaelekea kudhani mtoto akifanikiwa kumpata baba yake jambo hili litaleta shida. Now that assumes huko aliko hakuna watu wenye huruma, hakuna watu wenye uwezo wa kusamehe. That is very pessimistic. Akipokelewa utasemaje? Kwa sababu hilo linawezekana pia.... Kuna wanawake kibao wakimpenda Mume wapo tayari kumbeba kama kesha likiwana matakataka yake yote kwa kusamehe vurugu za ujana.
Mi naona jitihada ya kumtafuta huyu baba mpotevu iendelee.
You sound like a dreamer to me. A dreamer who ignores clear facts. Like the fact that nobody from the fathers side has made any contact. Isn't this message clear enough?
What you call pessimism is actually very well balanced realism.
The truth that we are dealing with a deadbeat dad hapa does not change whether one is an optimist, realist or pessimist. People must deal with the truth regardless.The truth here is that the father does not desire contact. Had it been otherwise he or someone would have contacted the child.
Forgiveness is for those who ask for it.
Hata wanaoamini dini kuna kutubu kwanza na kumuomba mungu msamaha, then unasamehewa.
Sasa kwa nini huyu baba asamehewe na kupewa nafasi ya kumuona mwanawe hata kabla ya kumtafuta na kumuomba msamaha?
Indeed kwa nini mna consider intrusion into someones life in terms of "msamaha"?
The whole thing is spanning from a sense of incompleteness. Mkuu
BADILI TABIA ka summarize vizuri sana hapo juu. Kama mtu anafikiri a deadbeat fad ndo atamvomplete, anatafuta disappointment tu. Mtu anajisikia hajakamilika mpaka amjue baba yake asiyetaka kumjua mwana?. Kujitambua kutatokanaje na kumtafuta baba asiyekutafuta? This is losing focus in the quest for kujitambua.
This so called father is a stranger in all senses but biological. Hujitambui kwa kukumbatia strangers. Don't confuse a craving for what is not there, a real father, for a quest for kujitambua. Mtu anayetafuta kujitambua angejenga identity around kutokuwa na a biological father . This is the reality. Kujitambua ni kutambua reality. Sio kuota ndoto kwamba unaweza kujenga uhusiano wa maana na baba ambaye hana habari nawe kwa miaka 20.
Unaangalia upande wa mtoto. Tuangalie upande wa baba. Does the father deserve to know the offspring?
Kuna kanuni moja ya maisha mnataka kuvunja hapa.
Usiende kule ambako hujaalikwa na watu hawataki uende.
Kama baba angetaka mtoto amtafute angeonyesha hilo.
Hakuonyesha. Heshimuni matakwa yake.