Uko vipi na mama mkwe wako?

Binafas yng sina mazoea na mama mkwe wng ktk na nikikukatan nae bc yey ndo anakua muongeaji me nabakia kumuitikia t nakuongea mara chache sanaa
 
Vipi wewe mama yako na mkeo wapo vipi! Maana wamama wengi hawapendi kuwaachia vijana wao, kaoa lakini bado anambana kama kinda.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Miaka saba ya kwanza katika, ndoa aisee hata, namba ya mama, mkwe sikuwa nayo kwenye simu yangu, akipiga kwenye namba, ya, mwanae ni Salam na haizidi hata dakika mbili.

Walau kidogo sana tunaongea maongezi ya dakika tatu, mpaka tano.

Hakuna mazoea na mama mkwe hahah
 
Maandiko Yamesema Waheshimu Na Uwapende Wazazi Wako. Hayo Mambo Mawili Ni Muhimu sana Kwa Mtoto Ktk Maisha Yako Yawe Ya Ndoa Na Mwenza Wako Ama Peke Yako.

Wazazi Wa Mweza Wako Ni Wazazi Wako Hivyo Kiwango Cha Kuwapenda Na Kuwaheshimu Kisipungue. Na Kwa Kufanya Ivo Naamin Hata Wao Watakupenda Na Kukuthamin Kama Mwanao Mwenye Heshima.

Kwenye Kuwasiliana Na Wakwe Zako Mara Nyingi Hii Ndo Huwa Naona Inanoga. Muda Unaokuwa Labda Sasa Ushamaliza Harakati Zako Za Utafutaji Ridhiki Umerudi Nyumbani Umetulia Na Upo Na Mke Wako Kama Umejaaliwa Na Watoto pia Itakuwa Vema Sana. Unapiga Sasa Simu Kwa Wakwe Zako Unawasalimia Maongezo Kidogo Na Ya Utulivu Then Unamwambia Kama Ni Baba Ama Mama Kuwa Ongea Na Mwanao Huyu Hapa Akusalimie Wanaongea Wanamaliza, Unamwambia Pia Ongea Na Mjuu Ama Wajuu Zako Hawa Hapa Wakusalimie.

Hii Kwanza Inawajenga Wanao Watambua Na Kuwapenda Bibi Na Babu. Na Wao Wazee Pia Kuwa Na Upendo Na Wajukuu Zao.

Lkn Pia Kwenu Nyie Itawapa Wazazi Amani Ya Moyo Kuona Mkoa Pamoja Kwa Kile Kitendo Tu Cha Wote Mko Pamoja Na Mmewasalimu Kwa Pamoja Mzazi Anakuwa Na Furaha Na Hata Amani Ya Moyo Kwamba Hawa Watu Ni Wamoja Tena Ikipendeza Kam Wazazi Wako Pamoja Basi Wote Itapendeza Kuongea Nao Kwa Wakati Huo Mmoja.

Fanya Ivo Kila Upatapo Muda Hata Ikiwa Ni Kila Baada Ya Siku Kadhaa. Lkn Usikae Siku Nyingi Eti Una Mwezi Mzima Au Miez Hujapiga Cm Utadhohofisha Uhusiano Wako Na Wazazi.

Usisahau Pia Kuwa Msaada Kwao Iwe Ni Kwa Vitu Ama Fedha Au Hata Ushauri Kwa Lile Unaloweza Ona Linaweza Kuwa Suluhisho Ktk Changamoto Yao Wanapotokea Kukwama Jambo Husika Hasa Pale Unapokuwa Na Nafasi Ya Kukuruhusu Kutatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…