Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Mama mkwe kapata mkwe muhuni[emoji51]Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Wewe kaa na Mama mkwe kama alivyo, achana na Phantasy za kihuni za mtaani, Heshima toka kwa Mama mkwe ni sawa.
Na hao wa Mama Mkwe hawana maana, usiwatilie maanani, bado una safari ndefu sana ngumu naye.
Kaa kwa machale, la sivyo ukijidai na bla bla utavuruga mambo yako kwa kupambana na ukweni.
Sijawahi ona hii, dunia haiishiwi vioja aisee.
Nyie ndo kila weekend mpo ukweni kupiga story.
Story za mkwe unazipata kwa mwenza wako, hata ukienda ukweni hutakiwi kuonana na mkweo mara kwa mara labda kwa sababu maalum.
Mnaonana au mzoeane kuongea nini? Awe huru ili akwambie nini? Kama ana shida atamwambia mwenza wako yeye ndo atapima akwambie wewe au asolve mwenyewe.
Wewe hay Sule hujui mipaka yako na mama mkwe wako awe Mwiraqw au kabila ingine?! Unataka ushikaji na mama mkwe ili iweje? Pumbafu yako, pumbafu ya wazazi waliokulea😡😡😡Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Wewe hay Sule hujui mipaka yako na mama mkwe wako awe Mwiraqw au kabila ingine?! Unataka ushikaji na mama mkwe ili iweje? Pumbafu yako, pumbafu ya wazazi waliokulea[emoji35][emoji35][emoji35]
Sorry[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sijapenda