Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Tuna heshimiana sana sihitaji kuwa na urafiki na mama mkwe kama ulivyosema!!
Huku nje ya mji mama mkwe nikukaa nae mbali sii wakuzoena[emoji1][emoji1][emoji1]
Nasikia kuna watu huko mjini hawana adabu wanavua mpk wakwe zao chupi [emoji15][emoji15]
Heshimu mipaka
Uwe karibu naye Ili iweje
Heshima unayopewa ndio unayo shahili
Hiyo unayoitaka wewe haustahili
SawasawaSi kama huke ushikaji unaofikiria. nisema kama ila sio ushikaji.
Nikitamani aww mtu huru kwangu
Kwa Mila na desturi za Africa mama mkwe hatakiwi kuongea mambo ya kishkaji na mume/mtarajiwa wa binti yake. Hivyo atakiwa akae mbali naye na kuondoa mazoea kabisaaa. Hivyo basi Mama mkwe wako yupo sahihi kabisa na umshukuru MUNGU. MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA pamoja na mtarajiwa wako.Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Kwa Mila na desturi za Africa mama mkwe hatakiwi kuongea mambo ya kishkaji na mume/mtarajiwa wa binti yake. Hivyo atakiwa akae mbali naye na kuondoa mazoea kabisaaa. Hivyo basi Mama mkwe wako yupo sahihi kabisa na umshukuru MUNGU. MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA pamoja na mtarajiwa wako.
Alikuwa sugar mummy wangu before cjakutana na mwanae, huwa ananitania kwa phone "we mshenzi kama masihara umekula kuku na yai"basi tunaishia kuchekaaaNiko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.