Mie nipo tayari swali nitampamuonaje
Kwa uwezo wa fedha alionao anaweza fanyiwa lipoplasty...
Kama anataka kupunguza unene kwa namna ya kawaida basi inabidi aunguze hizo extra extra calories kwa exessive workouts na mlo unaoratibiwa...
hahahaha! aya bwana, lakini mtumie manual guide ajipime kama atawezandio nitaweza!
Unaonekana kuwa na hasira sana na watu wanene mkuu ila omba Mungu sana mwanao asije ugua ugonjwa wa unene (gigantism)!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Amuone Maxence Melo anayelala masaa mawili tu atampa siri ya wembamba.
Jitu lolote lilafi fisadi lisilotumia akili nyingi lisitegemee kuwa na sex body. miili ya kilafi ni adhabu kutoka kwa Mungu.
Asanali nasikia ni bwabwa! Ni kweli?
Unaonekana kuwa na hasira sana na watu wanene mkuu ila omba Mungu sana mwanao asije ugua ugonjwa wa unene (gigantism)!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ndio nitaweza!
Amtafuta yule jamaa sijui Hasani wa maswala ya urembo na fshion show.
Naomba ufafanue tafadhari....bwabwa maana yake nini?
Utawezaje?