sitaki tume huru, namtaka jack zoka tu na timu yake wanichunguze, wakisaidiwa na kova lol! ila mkiona kimya mjue mwenzenu kucha, meno kushneyyyyy! mje pande za mabwepandeeeee huko ndiko wote tunaotetewa na zoka hupelekwa lol!52 hii maneno ya cacico imekaaje? Mi nadhani cacico aundiwe tume huru .
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyo sasa tena vipi?? ndio nani huyo kha!
Basi nimekoma sitakuchekesha tena... nalog off kwa faida ya kibarua chako! Msalimie YM popote pale alipo.Samahani mkuu!! Si unajua mazoezi muhimu lakini mkuu
wallah leo nimejua kichwa chako sio kizuri, nimecheka mwenzio kwa sauti job, ukoje we lakini kha!
Si unajua kwenye mapenzi kila mtu na size yake? Sasa kama una injini ya bajaji unataka ushindane na PRADO, wasikuibie mchezo?KHAAAAAAAAAAAAAAA, huyo mwanaume naye mzembe, aende jandoni upyaaaa wakamfunde, utaibiwaje mke bana??? kha! hii chi chat hii!
pole Remmy, mzima wewe lakini?? safari njema, ufike na kurudi salama inshallaah!Niko kwenye shabby kuna jkaka hapa linanuka jasho, mpaka nahisi kutapika.
Wakaka jamani muwe mnaoga Na kubadili nguo, asubuhi yote hii.
Safari yangu imekuwa mbaya, loo
khaaaaaaa! yaani hapo ni sawa na kuingiza nguruwe msikitini, mbona haiswii hiyo, lol!Si unajua kwenye mapenzi kila mtu na size yake? Sasa kama una injini ya bajaji unataka ushindane na PRADO, wasikuibie mchezo?
Kamuogeshe, na wewe usisahau kupunguza huo msitu.Niko kwenye shabby kuna jkaka hapa linanuka jasho, mpaka nahisi kutapika.
Wakaka jamani muwe mnaoga Na kubadili nguo, asubuhi yote hii.
Safari yangu imekuwa mbaya, loo
Mie niko na my honey cacico tunajikumbushia tulivyokuwa tunaenda shule....... Mapenzi yatu yalianzia zamani jamani... Hapo kina Yummy na BADILI TABIA walikuwa bado hatujawaoa.
Heheheeee ni wivu au Lol
...hahahahahahahaha...nitake RADHI.. Asprin...
heeeee...unavotokeaga mm hoi..
nina hamu na wewe...hebu njoo chemba bibie...