UKO na nani HAPO?

Kaka upo?

Hee! Nimeona mtu?
Au nimeona msukule ?
Jamani mnisaidie kama mtunge vile?
Ama kweli hujafa hujaumbika!
Nway enhee Muheshimiwa wewe kulikoni ? Mi sikutaraji kukuona hai tena Jeiefu!
Nini mbaya kiongozi wangu?
 
eeee eeeee! Wewe bibie cacico samahani sana tena naomba unikome. Mie ni mtu na heshima zangu usitake kunichafulia jina langu saa hizi.
mbona povu baba asubuhi asubuhi??? Naomba kutuma salamu kwa kikwete nchini uingereza alipokwenda kupanga uzazi! Ujumbe nchi haindeshwi kwa mabavu, usindikizwe na wimbo wa maneno ya mkosaji, uliopigwa na leyla rashid kha! Ym morning my x, mzima wewe??? Kha!
 
hayo madude siyapendangi.ila kuwa tajiri nataka

Waaoo!
Utajiri tu ?
Come this way! Takupa roadmap ya kuupata ushefa for shot term!
Yaani baada 1 year utajiri utakaokua nao utatamani ujiteke mwenyewe! Ujikidnap herself!
 
Hee! Nimeona mtu?
Au nimeona msukule ?
Jamani mnisaidie kama mtunge vile?
Ama kweli hujafa hujaumbika!
Nway enhee Muheshimiwa wewe kulikoni ? Mi sikutaraji kukuona hai tena Jeiefu!
Nini mbaya kiongozi wangu?

Mkuu nilikwama mahali nikashindwa kuingia jf kwa kweli nilisikitika sana ila sasa hivi nafurahi sana kuingia tena
 
safi sana nitonye. msaidie mkeo bwana. achana na hawa wana chit chat ambao kazi yao ni kuiba wake za watu
KHAAAAAAAAAAAAAAA, huyo mwanaume naye mzembe, aende jandoni upyaaaa wakamfunde, utaibiwaje mke bana??? kha! hii chi chat hii!
 
Unamuonea bure bana, prezidaa yuko bize anamuombea Dr. Ulimboka.

 
Unamuonea bure bana, prezidaa yuko bize anamuombea Dr. Ulimboka.


thanx bby kwa kunijuza! lol,
 
Judgement, unajua tabia mbaya ya kuchakachua sredi aliyonifundisha The Boss, sweetlady na Husninyo (RIP) nilishastaafu. Mi sijakugaya, ukata tu na uchumi mdororo umenikumba nikaamua nipunguze kujirusha,lol
Nimeku'read vilivyo King'asti, hata hivyo niende out of mada kidogo , nakuuliza mbona nw dayz umenigaya kiivo? Even Hi ? Nothin' !
Awali hukua hivyo! Mpendwa wewe.
Hii roho ya wanaopeleka watu Magwepande umeitohoa wapi ?
 
Last edited by a moderator:
niko beach....Nassau hapa na nyonda wangu mtu chake....twala maisha....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…