Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
- Thread starter
- #21
Ukweli kabisa! Watu wana hali mbaya sana za kimaisha, huduma duni za kijamii na miondombinu mibovu. Linapokuja suala la watu hawa kukombolewa ili watolewe huko na wawe na maisha mazuri yenye hadhi ya kibinadamu haswa watu hao hao wanaanza propaganda chafu za kupinga hivyo vitu huku wao na vizazi vyao wakizidi kuangamia kwa maisha magumu.Umewaza sana
Asilimia kubwa ya watanzania wameaminishwa tajiri ni adui, mnyonyaji na sisi tukiambiwa ni wanyonge
Dunia imebadilika leo hii apple ya marekani imefungua kiwanda China
Urusi inasafirisha gesi ulaya
Sisi tunasema wanatuibia
Gesi tuliyonayo hata tukitumia miaka 1000 bado haitaisha
Marais wanaowapendeza hawa wanaokubali kuitwa wanyonge ndio hugeka kupendwa zaidi
Nimempenda mama yeye hajali yeye ni kazi kazi nchi iendelee watu walidhani wanaeza kumcontrol kwa kumuambia aishi kama mtangulizi wake yeye haogopi mtu ukimzingua anakuzingua🤣
Mama Samia amefanikiwa sana kuzigundua hizi akili mfu za watanzania maana bila kuzigundua mapema angeishia pabaya sana!