Tena inawezekana benki ya posta ikaongezeka kwani nasikia wanatoa interest rate ya 13% per annum,ngoja nifuatilie zaidi nimshauri mstaafu fulani hivi akawekeze huko
Kila bank ina % yake, hyo hela ndogo sana, hao watakua CRDB na NMB wakaksi sana, bank zingne ambazo pia ni risk kubwa sabab hawachelew kutangaza mufilisi. Wanakupa hela zaid ya hyo .ukienda bank kubwa kubwa zenye nyodo lazima wakukomeshe. Kwanza hela kama hyo lazima mkae mezan kupanga hyo %.Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Lete Saccos yetu unapata 4M kila mweziWale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Tatizo ni benki ikifilisika hutaipata fedha yako.Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 5 utaiona faida.Kila bank ina % yake, hyo hela ndogo sana, hao watakua CRDB na NMB wakaksi sana, bank zingne ambazo pia ni risk kubwa sabab hawachelew kutangaza mufilisi. Wanakupa hela zaid ya hyo .ukienda bank kubwa kubwa zenye nyodo lazima wakukomeshe. Kwanza hela kama hyo lazima mkae mezan kupanga hyo %.
Hyo nahis itakua 8-9%. Matapeli kabis hao. Enzi hzo access bank iko bongo..nakumbuka niliwekaga hela flan..nakumbuka walinipa 14%.
Sasa ndo hvyo bank yenyew ikajifia nahis, hiv bado ipo? Nilifanya hvyo miaka kama mi3 iliyopita hivi nahisi.
Malipo ya bond ni kila mwezi au mpaka miaka mitano bond itapo mature?Bora kununua Bond za BOT unapata milioni mbili laki saba kila mwezi na pesa yako iko palepale na haikatwi kodi yoyote.
Wanalipa mara mbili kila mwaka na ukitaka kuuza unauza wakati wowote.Malipo ya bond ni kila mwezi au mpaka miaka mitano bond itapo mature?
Mama, Milioni 200 huwezi kujenga nyumba 20 zenye kukupa kodi ya $500 kwa mwezi.Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.
Milioni 200 ni nyumba moja tuOption nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.
Kwa hiyo kama ni 20,moja utaijenga kwa mil 10 ama?Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.
Shadakta mkuu naunga mkono sio maneno ya maandishiSasa tupieni michongo ya kuipata iyo Mil 200.
Approach nzuri ni portfolio ya investments/businesses. Usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja!Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.