Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 54
amempunguzia matatizo jk na ccm yake,la sivyo wangekuwa na kipindi kigumu wakati wa uchaguzi 2010
You are so good in typing!
amempunguzia matatizo jk na ccm yake,la sivyo wangekuwa na kipindi kigumu wakati wa uchaguzi 2010
View attachment 1449
Katibu Mkuu wa CCM, Bw. Yusuph Makamba ( wa tatu kulia ) na viongozi wengine wakiwa wamezunguka jeneza lenye mwili wa marehemu Ditopile Mzuzuri katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro jana, kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa mazishi. Wa pili kulia ni Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini, Bw. Omari Mahita ( Picha na Ramadhan Libenanga)
Unajua tuseme ukweli hiki kifo cha huyu "mtoto wa mjini" wengi tumekipokea kwa furaha sana.Hasa tukimkumbuka marehemu Mbonde.....Rest Not In Peace Ditto
Dito alizidiwa akiwa kwenye tendo la ndoa hadi kufia kifuani kwa mkewe.
Dito alizidiwa akiwa kwenye tendo la ndoa hadi kufia kifuani kwa mkewe.