Hiii!!!
Daaaahh maisha tuu hayaNaombaa uendeleee tu kuzungushaa
Sio porini, kwenye ukingo wa mto nlishtuka siafu washadandia vvvvzzzz
Hamna story tuuNaona unatiririka, mzima lakini
Mmmmh leo veeepe boss ??
Sasa je. Utaachaje sasaKama namuonaa alivyomaindi alafu wanaume walivyo unaweza mwambiaa nangatwa na siafu akawa bado anakunanganiaaa hataki kukuachiaa
![]()
![]()
hulka ya mtoto wa kike stara na hayaa!!
Na ni mafup kinoma nouma yanMaisha ndo haya haya
Kitam husikiii maumivu banaYaaan siafu wananingata halafu bado mm nakaa kimyaa?hell no
Na chaa arusha tenaa??
Hahahhaa uandishi wako wa hili tukio Hahahahha ungekua unatoka Tanga Ningejua ni wewe, Ila Mimi mhusika wangu Sidhani kama ni member humu. Yaani ile amelaza Kanga tu chini, Kidume nimeshavua pensi nimeshikilia bunduki kuelekeza eneo la tukio, lahaula ni Siafu wa kufa mtu!! Sitakaa nisahau, ninavyoandika hapa ni kama vile naliona kabisa lile tukioAmalize wapi teh siafu washafanya yao hakuna cha kumaliza, tushasambaratishwa hivo
Hamna story tuu