Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Upuuzi tu, wakifumwa wakatimuliwa wanaanza kulialia

Huanzia ndani ya magari, haponimuendelezo wa tabia tu.
Nasikiaga eti ni tamu sana
Sijawahi jaribu
Ngoja nivizie wa kumpiga nalo tatizo hawana mvuto kama mke wangu
 
Inasekana kwambaaaa....


Kufanya hizo sehemu za hatari ni burudani kuliko maelezooo.
Haya mambo ya kusema inasemekana kitu flani ni kitamu ndo yanafanya watu wanaenda jaribu vitu visivyo faaa lol
 
Hahahhaa uandishi wako wa hili tukio Hahahahha ungekua unatoka Tanga Ningejua ni wewe, Ila Mimi mhusika wangu Sidhani kama ni member humu. Yaani ile amelaza Kanga tu chini, Kidume nimeshavua pensi nimeshikilia bunduki kuelekeza eneo la tukio, lahaula ni Siafu wa kufa mtu!! Sitakaa nisahau, ninavyoandika hapa ni kama vile naliona kabisa lile tukio
 
Kwakweli tunavikwepa sana Du! Yani vipo online halafu vidogo vidogo. Kifupi ni kujicontrol tu sehem za kazi... Ukiona mambo yamebana sana unamtafuta mambembe
Yaani wale wadada wa usafi kitendo cha kumla umempa hadhi mnoo kwa sababu level yake ni wauza genge wewe kumla ni kusafisha nyota
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom