Sio porini, kwenye ukingo wa mto nlishtuka siafu washadandia vvvvzzzz

Yani acha tu... Inabidi tu kupanda classSipendi hizi ofisi balaaaaa maofisi haya sana sana zinakuwaga za mitandao ya simu lol mnaonana kilaa siku mpka.mnachokana
Unawachomoaje wamezama ndani ya jeans, ni kukimbia tu mbio za kufa mtu break toiletHahahahahaha Shenziiiiiiiiiiii mpka uanze kuwachomoaaa ni balaaaa hapa ni ndrukiiiiii
If u want try Find miHivi hizi mbili zinapanda?
Amalize wapi teh siafu washafanya yao hakuna cha kumaliza, tushasambaratishwa hivoI hope jamaa alimaliza LoL! Kama nakuona vile ukitoka mkuku huku jeans likiwa chini ya magoti huku ukijitahidi kulipandisha pamoja na picchu🙂🙂
Like u its so mwaaaaaaahhhhI dnt want to try was jst askin ,coz from wht i knw atleast nshajaribu cockatil ya amarula na konyagi na it was sooooooo mwaaaaaaaaaaaaaaha
Amalize wapi teh siafu washafanya yao hakuna cha kumaliza, tushasambaratishwa hivo
Ningekua nshaliwa!!
Nshazipanchi sana hizoo!
Najihami mnoo!!nadefence mwanzo mwishoo!!napaki basi kama Mourinho!


nakusalimia mpendwaHiii!!!nakusalimia mpendwa
😀😀😀Hahahahaha siafu wasimamisha shughuli za kupeana utamu. Chezeya siafu weye! 🙂🙂