Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
Ningekua nshaliwa!!Inategemea mko mazingira gani. Kuna mazingira mengine yanashawishi balaa hasa mkibaki wawili mida ya asubuhi au jioni usiku manapoondoka. Mi sijawahi lakini ...
Nshazipanchi sana hizoo!
Najihami mnoo!!nadefence mwanzo mwishoo!!napaki basi kama Mourinho!