Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Vipo hvyo ila daah!mtihani kweliiHuamini?
Vipo hvyo ila daah!mtihani kweliiHuamini?
Kwasisi wataalan hapo kuna mtu kachojoa kyupi akakalia hapo kwa bahagi mbaya sasa hiyo meza kwa kuwa ilikuwa na unyevu wa baridi ndo mkun....u wake ukajichora hapoNaombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........View attachment 776371
Tatizo kichwa kidogo kikisimama,kikubwa hakifanyi kaziNaombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........View attachment 776371
Hahahaha yaaan usinichekese manake kuna vitu nakumbuka nacheka kama falaa hapa
Tena asilimia kubwa wale wanaowahi kufanya usafi ndo hufanyiziwa sana hayo mamboHivi watu wanawezaje kufanya mapenzi ofisini??
MmmhTena nawaambiaga nyie hapa kazini nawaona kama kaka zangu so don't expect a thing from me especially love issues!
Maana wengine hawana haya hata kidogo!
Mi Naona decorations tu.shida ipo boss
Kazini hapana kabisaa!!Mmmh
Ukishamaliza ndio unaanza Kujiuliza, Hahahah ya Ngoswe Muachie Ngoswe mwenyeweVipo hvyo ila daah!mtihani kwelii
Kwa hiyo na ww unapokeaa rushwa kubwa eehee?haya tukutane mahakamani kuleee
Inategemea mko mazingira gani. Kuna mazingira mengine yanashawishi balaa hasa mkibaki wawili mida ya asubuhi au jioni usiku manapoondoka. Mi sijawahi lakini ...Tena nawaambiaga nyie hapa kazini nawaona kama kaka zangu so don't expect a thing from me especially love issues!
Maana wengine hawana haya hata kidogo!
Hahahahaha Hahahahaha na wewe Uko JFHumu JF kila mtu ni mlokole, hakuna wanaume wanaohonga, hakuna wanawake wanaofanyia ofisini, hakuna ...
Huwa najiuliza sana, hawa wa humu wanatoka sayari gani?