Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Wanawake wana siri nyingi....

Akipata promo hapo...ni mastatus ya kumsifu Bwana tu...

Hahaaha....msifu Bosii
Hahahahaha na sisi wengine tunaishiaa kunyaliwaa ,utasikia jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu kumbe mwenzetu ana lake moyoni
 
Office ni too much Jaman Kaka zetu sanasana mpunguze maana naamini nyie Ndo washawishi wakubwa!!!!! Sijui mnawezaje kutuliza akili hata
 
Mmmh uwe na moyo kweli.maeneo ya ofisini kwakweli huwezi kunikuta nafanya ujingaa hata siku mojaa na wala sinaga masiahara na mtu mpaka nikafikie huko
Mihemko inatofautiana hata hivyo haipangwi hujikuta tu mnafuta matako nakuanza kujishangaa ilikuaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom