Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ilaa uwe na moyo tena hiyo ya chooni kwakweli i cant.....atleast ya kwenye gari though nayo sio nzuri
Dah kwenye gari kwa Dar unaenda parking lot unamlipa Mlinzi na unamwambia kabisaaaa! Kisha unawasha gari, AC full unaendelea na kazi huku Nje Mlinzi anawalinda!! Hadi raha, ukimaliza unampa buku mbili Mlinzi unaishia zako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaaan mimi ndo nikishagoma kabisaa na mfanyakazi mwenzangu ni big No
Tena nawaambiaga nyie hapa kazini nawaona kama kaka zangu so don't expect a thing from me especially love issues!

Maana wengine hawana haya hata kidogo!
 
Doooh hata msibani??hapana kwakweli
Nmefanya utaft, nikagundua mwanaume kufanya mapenzi mahali sio sahihi uhondo huongezeka maradufu!
Yaani Ku sex pale unapohtaji utamu unakuwa wa hali ya juu kuliko mkpanga muende mahala Fulani
 
Tena nawaambiaga nyie hapa kazini nawaona kama kaka zangu so don't expect a thing from me especially love issues!

Maana wengine hawana haya hata kidogo!
Alafu ukiwa serious ndo wanaletaa mzaha yaan ukimpa mmoja jua ofisi heshima inashukaa
 
Wanawake wana siri nyingi....

Akipata promo hapo...ni mastatus ya kumsifu Bwana tu...

Hahaaha....msifu Bosii
Me wananikera huku kwenye whatsapp na status zao anakopi mistari kumi ya bible anapaste kwenye status,unabaki unaangalia unasema hiiiiiiiiii!!
 
Umeona halafu ndiyo mara watokee watu waanze kupiga kelele huyoooo huyooooo hahahahaha LoL! UTAJUTA na kuzilani genye zako.

Hahahaha chupi inajisokotaaa balaaaa
 
Nmefanya utaft, nikagundua mwanaume kufanya mapenzi mahali sio sahihi uhondo huongezeka maradufu!
Yaani Ku sex pale unapohtaji utamu unakuwa wa hali ya juu kuliko mkpanga muende mahala Fulani
Yes its true ilaa jamaan kwenye msibaa sasa hii ni too much khaaaa ......bora mkafanyiee huko migombani ila wanaune hawana subra akili zai zikisha rudi huko chini
 
Alafu ukiwa serious ndo wanaletaa mzaha yaan ukimpa mmoja jua ofisi heshima inashukaa
Kwanza siwezi na mawivu haya ya kuzaliwa nayoo!!

Mimi hapana bwana!I do respect my body!!
Mwili wangu,utu wangu kwanza!!kirahisi hivi jamani looh!
 
Mmmh uwe na moyo kweli.maeneo ya ofisini kwakweli huwezi kunikuta nafanya ujingaa hata siku mojaa na wala sinaga masiahara na mtu mpaka nikafikie huko

Ukikuta ofisi imeandikwa hatupokei rushwa ujua wana maanisha "Tunapokea rushwa kubwa kubwa".

Bado hujapata wa kufika dau.
 
Umeona halafu ndiyo mara watokee watu waanze kupiga kelele huyoooo huyooooo hahahahaha LoL! UTAJUTA na kuzilani genye zako.
Hahahaha yaaan usinichekese manake kuna vitu nakumbuka nacheka kama falaa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom