Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Hahahahah Tanga maisha simpo sana
 
jamani kuna sehemu nasikia panaitwa mwakizaro story za huko zikoje kwa wadada yaani warembo
 
Maeneo ya pwani mengi kuna mamwinyi wengi wao hawapendi kazi mda mwingi wamekaa kwenye vile viti vya uvivu wanasoma magazeti uku wakishushia kahawa na kashata
 
Dah huu uzi umenikost Jana baada ya kuuona na mimi niko tanga nikajaribu kwa mdada mmoja nione kama kwel huwezi amini mpaka Sasa naona aibu mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupe mrejesho kunani uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…