But that is speaking from my imagination...sijawahi kuwa na Mzee..heheheeee!
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hii
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!
Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena.
jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa wanaojiuza Indirect.
Tujadili hili kwa ungwana wakuu.

Ina maana wazee hawana haki ya kupendwa? Hakuna mtu anayependa au kupendwa bila sababu..unaweza pendwa kwa sababu ya mambo mengine na pesa hikiwemo. Hata wewe na ujana wako unaweza kupendwa kwa sababu ya pesa yako.........
^^
If so then.. Kuna kitu unakosa katika mapenzi, na siku ukimpata anaejua your weak point in love, utapoteza fahamu!
^^
Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena.
jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa wanaojiuza Indirect.
Tujadili hili kwa ungwana wakuu.
Ina maana wazee hawana haki ya kupendwa? Hakuna mtu anayependa au kupendwa bila sababu..unaweza pendwa kwa sababu ya mambo mengine na pesa hikiwemo. Hata wewe na ujana wako unaweza kupendwa kwa sababu ya pesa yako.........
Labda.......!
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!
Mzee lazima akubembeleze Maana Ndio silaha yake ya pekee aliyonayo kukunasa... Mkae mkijua tunawabembeleza kinafiki tu ili tupate papuchi hiyoo ya kitoto
Money is what counts......
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hii
Hata siye tunawajua kwa unafiki wala hamuwezi shughuli tunachofata ni ATM zenu tu! Huamini angalia babu mwenzio wa kijijini anaweza kumiliki KLyn?
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mapenzi ni BIASHARA na kwamba K ni commodity au?