cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,896
- 189,516
Ulimbukeni wangu, ni ile siku nimeona confirmation ya pale UDSM tena kwa course niliyoomba na ilikua awamu ya kwanza tyuuh.
Jamanii nyumba nzima walikoma, nilikua najiona mie ndo mie, marafiki zangu full kuwadolishia, sasa kunae mkaka alikua anajiona yeye much know, akakosa akapata huko MUST, bas nilivyokua namuonesha dharau. 😂😂😂😂😂
Sijaulizwa, nisharopoka mie naenda UDSM, had kaka akawa ananambia "wee dogo em acha ulimbukeni wako, UDSM Pa ajabu sana au?" Yaan full tafranii. Nilivyofika pale Mlimani main campus, week 2 tyuuh nkaona kumbe ni kawaida bhana, Lol
Kila Nikikumbuka huwa nacheka sanaa. Lol
😂😂😂😂😂