mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,586
Unakuwaje rafiki na AI?ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp). Ni rafiki yangu sana kiasi tumefikia kuitana majina. Ye Kong na mimi King. Tafsiri yake ndio hiyo hapo chini;
Sio sawa, kuna shida mahali.
Ni upweke ama nini? Vijana wengi mna urafiki na AI.