Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Kuna mchepuko tulikuwa tumeahidiana leo tukafanye yetu, nikawa nimejisogeza lodge huku napata maji baridi nikimsubiri, kwa kawaida huwa silipii chumba mpaka muhusika afike.

Sasa hiki kibinti kimenichomesha mahindi mpaka nimekoma...!napiga simu sound kibao, nikaona hapa leo nimezinguliwa ikabidi nikubali matokeo nikasepa…!

Kwa kuwa nilishaandaa kama hamsini elfu hivu kwa ajili ya lodge na mambo mengine nikaona hii ndo fursa kwa mama chanja ikabidi nipitie dukani kariakoo nikanunua gauni moja matata kali sana la 50 elfu,

Now nipo kwa mwendokasi na zawadi ya mke wangu nampelekea. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nimeingia phone book nimefuta contacts zake, sms na call log zote ""ANIKOME""
Hongera sana!
 
wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
Hahaha.. Uchakavu wa k...
 
50 mbona nyingi sana? Wenzio wanakunjwa kwenye magari au wanainamishwa chini ya mti afu wanazawadiwa buku kumi ya nauli... wanashukuru kinoma.
Kwani hiyo nauli ya nini hasa hasa
Ni upimbi tu kuhonga kwani hiyo starehe ni yangu tu au
 
labda anakula wa viwango vya hyo hela tusimlaumu sana.mimi napaka lotion ya elf 50.sasa mtu atanigegedaje kwa elf 50 kwa mfano hata lotion tu hawezi rudishia mwilini mwangu?
Hivi upewe hela kwa kipi hasa ulichonipa kama starehe nakupa mimi bado nikupe hela ni ubwege kiwango cha fly over za tazara
 
yaani gauni gani hilo la elfu hamsini? jamani nyie ndo mnafanya wanawake walio kwenye ndoa wajione hawana maana kwa ajili ya upuuzi kama huu.
Always immediate family is the priority, sio umuweke second chance
BTW sijasema mnatakiwa mchepuke ila inavyobidi msije dharau mke wa ndoa kama hivi, nilivyoona title nilifurah kumbe duuuh huna lolote kabisa.
Mkuu nisamehe sana nimekasirika tu cjui kwa nini
Una maana 50k kwa gauni ni ndogo?
 
wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
Laki tano hiyo k yako umeiongezea thamani ipi yaan ina nini special yaan tofaut na mwajuma ndala ndefu wa kule kwetu nanjilinji bado upewe laki tano eti utataka ufikishwe kileleni pumbaaaaav yaan nikupe starehe mimi afu hela nkupe pia kwa kipi hasa
 
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
Siyo kila K inalipiwa, yule si mtoto wa shule? 10 inamtosha
 
aisee ndo maana hajaja hailipi kabisa
Kwa hiyo nyie dushe hampendi ila sis ndo tunapenda papuchi wanawake bana bas ukimkuta jamaa fala unamkazia wakati genye zikikupanda una kazwa na boya tu tena we ndo unampa hela eti hailipi nyie mnalipa nin
 
Pole mkuu naona una frustration [emoji1] [emoji1] [emoji1] maana hayo maamuzi hukuyatarajia.
 
Back
Top Bottom