miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Ila michepuko yako inakazi .. hapo ungempa chipsi yai na coca halafu umchafue hata usimfikishe kileleni .. ha ha haya msalimie mkeo
wewe unaonaje mkuu yaani mwanamke utoke nyumbani kwako muda gharama za kuvaa kujiremba kuacha shughuli zako etc uende mahali kutoa k bure kweli?Hailipi akitoa pesa ya manunuzi na bei ya kuuzia eeeh?
Kwa walioingia huko, wanasema mume wa mtu ni bora mara 100 kuliko msela. Mume wa mtu anakula na kusaza kwa sababu anajua atatulizwa kwake. Msela ni shida. Mnapakuana kama ndo mara ya mwisho vile. By the way the choice is yours. Haya jibu swali la kuhongwa na mume wa mtu. [emoji12] [emoji381]issue sio kuhongwa aisee hv unajua risk ya kutembea na mume wa mtu? halafu ukapewe buku 10? bora utembee na msela mwenzako bure aisee
ahahaaaHaaaaa unanikumbusha nilisafiri hadi mwanza kufata dem kufika kule nkaingizwa mjin n wasukuma nkaenda kwa aunt wakauliza kulikoni nkasema suprize nimemic sangara
swali gani mpenzi?Kwa walioingia huko, wanasema mume wa mtu ni bora mara 100 kuliko msela. Mume wa mtu anakula na kusaza kwa sababu anajua atatulizwa kwake. Msela ni shida. Mnapakuana kama ndo mara ya mwisho vile. By the way the choice is yours. Haya jibu swali la kuhongwa na mume wa mtu. [emoji12] [emoji381]
yaani ina kazi si mchezo .elf 50 ndo budget ya siku nzima etiIla michepuko yako inakazi .. hapo ungempa chipsi yai na coca halafu umchafue hata usimfikishe kileleni .. ha ha haya msalimie mkeo
Duhh......[emoji15] [emoji15]wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
labda anakula wa viwango vya hyo hela tusimlaumu sana.mimi napaka lotion ya elf 50.sasa mtu atanigegedaje kwa elf 50 kwa mfano hata lotion tu hawezi rudishia mwilini mwangu?Katisha sana! Naona hajawahi kufikiria bei za makeup,lipstick,deodorant, muda,mafuta,bajaj nk
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hii balaa. Ila ujanani kufuata demu kilometa hata 2000 ni kawaida sana. Unatoka Bukoba unafuata demu Masasi mliefahamiana mtandaoni. Halafu unakutana na surprise. Wa mtandaoni sio unaeonana nae liveHaaaaa unanikumbusha nilisafiri hadi mwanza kufata dem kufika kule nkaingizwa mjin n wasukuma nkaenda kwa aunt wakauliza kulikoni nkasema suprize nimemic sangara
funga mbu wataingiaDuhh......[emoji15] [emoji15]
Mdomowangu umebaki wazi kabisaaaaaaaa....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Basi sawa....[emoji19] [emoji19]funga mbu wataingia
Usawa wenyewe huu wa mzee wa fonti fedi. Hahahaaaa. Inatosha sana hiyo.aisee ndo maana hajaja hailipi kabisa
50 mbona nyingi sana? Wenzio wanakunjwa kwenye magari au wanainamishwa chini ya mti afu wanazawadiwa buku kumi ya nauli... wanashukuru kinoma.wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
. well done. Ubarikiwe. Na Leo wife atakufurahia sana. Nimefurahi.Kuna mchepuko tulikuwa tumeahidiana leo tukafanye yetu, nikawa nimejisogeza lorg huku napata maji baridi nikimsubiri, kwa kawaida huwa silipii chumba mpaka mhusika afike.
sasa hiki kibinti kimenichomesha mahindi mpaka nimekoma...!napiga sim sound kibao, nikaona hapa leo nimezinguliwa ikabidi nikubali matokeo nikasepa…!kwa kuwa nlishaandaa kama hamsini elf hiv kwa ajili ya lodge na mambo mengine nikaona hii ndo fursa kwa mama chanja ikabidi nipitie dukani kalikoo nikanunua gauni moja matata kali sana la 50 elf, now nipo kwa mwendokasi na zawadi ya mke wangu nampelekea. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nimeingia phone book nimefuta cont zake, sms na call log zote ""ANIKOME""