Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Na kwa nini uone mkeo anakukera???!!! Hapo upendo utakuwa umepungua, kila mmoja ana mapungufu hata wewe hujakamilika. Ni suala la kuzungumza na kurekebishana pale unapokereka
Unajua kiini cha kero huwa ni mtu kutokuwa msikivu na muelewa? Be it a man or a woman.

Mie nimekaa na mwanamke ndani for months, i just wanted to get ile feeling ya kuwa ndani ya ndoa so i committed myself sikuwa na mchepuko or whatsoever. The woman i chose was the most wonderful woman anaejiheshimu and all that anajua maisha ni wife material.

Mwanzo mambo ilikuwa poa but after a couple of months ilikuwa kero mpaka sitamani kurudi home baada ya mihangaiko. Sikubadilika chochote really loved her but alianza tu kero ghubu la kila saa kulalamika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu ilimradi tu mbishane akuharibie mood.Mi ni mpole na naskiliza sana ila it reach a time nilikuwa namzabua makofi kumshtua kidogo maana makwazo yalizidi.

Nilikuwa naskia wanandoa wanasema tu mke anakera i came to realize uhalisia wa kile walichokuwa wanasema nikaelewa kwanini watu wanafikia bar baada ya kutoka ofisini.
 
wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
[emoji12] [emoji13] [emoji13] ulitaka iwe sh ngapi?
 
Unajua kiini cha kero huwa ni mtu kutokuwa msikivu na muelewa? Be it a man or a woman.

Mie nimekaa na mwanamke ndani for months, i just wanted to get ile feeling ya kuwa ndani ya ndoa so i committed myself sikuwa na mchepuko or whatsoever. The woman i chose was the most wonderful woman anaejiheshimu and all that anajua maisha ni wife material.

Mwanzo mambo ilikuwa poa but after a couple of months ilikuwa kero mpaka sitamani kurudi home baada ya mihangaiko. Sikubadilika chochote really loved her but alianza tu kero ghubu la kila saa kulalamika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu ilimradi tu mbishane akuharibie mood.Mi ni mpole na naskiliza sana ila it reach a time nilikuwa namzabua makofi kumshtua kidogo maana makwazo yalizidi.

Nilikuwa naskia wanandoa wanasema tu mke anakera i came to realize uhalisia wa kile walichokuwa wanasema nikaelewa kwanini watu wanafikia bar baada ya kutoka ofisini.
Ndo maana nakuambia upendo ukipungua ndo chanzo cha hayo yote. Kuna mikwaruzano kwenye mahusiano ila sio kila mara, mie huwa naamini mkipendana ile ya kiukweli, tuachane na hizi za kutamani sijui nilemuona ni wife material no!! Kuna zaidi ya hilo!!!

Upendo bhana hauhesabu mabaya,huvumilia ,hauna chuki!!! Ukiona mmefikia hapo kwenye gubu kila leo jua hamna upendo hapo, sio wa ubavu wako!!!

Pole mwaya!!!!
 
watu wengine hata hamkustahili kuoa
yaani umeoa na bado unajidhalilisha kwenye vyumba vya gesti
hovyo sana
Hivi huwa mnatafuta nini hasa ambacho huwa mnavikosa kwa wanandoa wenzenu?
 
😳
3M hii k ina passo ndani. Kweli kila mtu anakula kadili ya uwezo wake
Dah..unaweza kukuta na kitu kinataka gem ikapigiwe Malaysia....unafikiri utajipanga vipi wakati nauli tu zaidi ya 5m?😀😀😀
 
Kuoa ni kujiongezea frustrations tu. Wanandoa wengi wanapretend wanafuraha lakini ni kuigiza tu.
 
Back
Top Bottom