Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Hahahhaha kwahio amekosa kutumia hio 50,ilabora maana mke ameambulia gauni la 50,000 but mchepuko labda angepata 20 au 15 maana kwa hio hela hujalipia gest,vinywaji,chakula chenchi ndo anabakishiwa mchepuko
 
Laiti kama hiyo hela mapema tu ungekwenda dukani na kumnunulia gauni mkeo, ungerudi nyumbani mapema na wala usingepoteza muda kuchomeshwa mahindi. Mpende mkeo sio mpaka kimchepuko kigome kuja ndio hela umnunulie mkeo gauni, badilika jombaa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Haaaaa unanikumbusha nilisafiri hadi mwanza kufata dem kufika kule nkaingizwa mjin n wasukuma nkaenda kwa aunt wakauliza kulikoni nkasema suprize nimemic sangara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani hiyo nauli ya nini hasa hasa
Ni upimbi tu kuhonga kwani hiyo starehe ni yangu tu au
Mkuu ndo maana ikaitwa michepuko hutakiwi kulalamika kama unaona hutendewi haki kaa na mkeo tena bila gharama yoyote ..
 
Laki tano hiyo k yako umeiongezea thamani ipi yaan ina nini special yaan tofaut na mwajuma ndala ndefu wa kule kwetu nanjilinji bado upewe laki tano eti utataka ufikishwe kileleni pumbaaaaav yaan nikupe starehe mimi afu hela nkupe pia kwa kipi hasa
Mkuu una miaka mingapi?? Samahani lkn kwa swali
 
labda anakula wa viwango vya hyo hela tusimlaumu sana.mimi napaka lotion ya elf 50.sasa mtu atanigegedaje kwa elf 50 kwa mfano hata lotion tu hawezi rudishia mwilini mwangu?
hiyo lotion unapaka yote siku moja....wewe sio mtanzania mwenzetu, rudi tu kwenu aiseee.
 
Ifike mahali tuwathamini wenza wetu, hilo wazo la gauni ungekuwa nalo kabla hata ya kumuwaza mchepuko ingekuwa bora zaidi!!!!
Tunakosa baraka za Muumba sababu ya mambo kama hayo.., mpende na umuheshimu mkeo
Kama anakera je?
 
Back
Top Bottom