Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Siku ya kwanza nalipia lodge elf 20 iliniuma hadi leo, ingawa demu alikua mkali na Ali deserve treatment zaidi ya hiyo lakini niligundua ni bora hata kupanga geto kwaajili ya kazi hiyo aisee, show za hv siku hz ni gharama sana
 
wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
Ameandika kwa maneno so hapo jajakosea. Angeandika like this 50,000 ndio ungesema kaacha sifur moja
 
wife anakula chenji ya mchepuko?
sasa budget elf 50 inamaana hapo lodge sh ngapi na mngekula sh ngapi na hela ya uchakavu wa k ni sh ngapi? na nauli ya mchepuko sh ngapi? au ni laki tano umesahau sifuri mkuu?
[emoji1] [emoji1] eti pesa ya uchakavu
 
ndo maana sitoombwi na mume wa mtu aisee elf 50? si bora nilale tu home hata mzee wangu kijijini anaweza kunirushia kama nimefulia
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] ...unataka sh ngapi?
 
Haaaaa unanikumbusha nilisafiri hadi mwanza kufata dem kufika kule nkaingizwa mjin n wasukuma nkaenda kwa aunt wakauliza kulikoni nkasema suprize nimemic sangara
Hahahaaha
 
Mtani wale wanawake wanaojiuza pale New Africa Casino wanajiremba na wanatumia makeup za gali kuliko wewe na bei zao ni 50k to 100k.
Make up za ghali zipi hizo mkuu? Ambaye muuza nyapu anayelipwa 100k anaweza kuafford?
 
Si ajabu hilo gauni ulilomnunulia mkeo ataenda kumvalia mchepuko wake ambae yeye atatokea hatoleta saundi kama wa kwako![HASHTAG]#Karma[/HASHTAG]
 
Kuna mmoja alinichomesha maindi mara mbili ya mwisho mpk nimelipa na guest hakutokea sasa hivi nimekata mawasiliano yeye ndio anahangaika na ndoa yangu ipo mubashara kabisa
 
Back
Top Bottom