Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

labda anakula wa viwango vya hyo hela tusimlaumu sana.mimi napaka lotion ya elf 50.sasa mtu atanigegedaje kwa elf 50 kwa mfano hata lotion tu hawezi rudishia mwilini mwangu?

Lotion ni 50K hayo matone uliyopaka ukaja tukakutana tutalipa kwa 5K
 
Katisha sana! Naona hajawahi kufikiria bei za makeup,lipstick,deodorant, muda,mafuta,bajaj nk
Huyo mwanamke hanufaiki na hicho kitendo? Huyo mwanaume yeye hajavaa na kujipulizia perfume?
 
labda anakula wa viwango vya hyo hela tusimlaumu sana.mimi napaka lotion ya elf 50.sasa mtu atanigegedaje kwa elf 50 kwa mfano hata lotion tu hawezi rudishia mwilini mwangu?
Mtani wale wanawake wanaojiuza pale New Africa Casino wanajiremba na wanatumia makeup za gali kuliko wewe na bei zao ni 50k to 100k.
 
yaani gauni gani hilo la elfu hamsini? jamani nyie ndo mnafanya wanawake walio kwenye ndoa wajione hawana maana kwa ajili ya upuuzi kama huu.
Always immediate family is the priority, sio umuweke second chance
BTW sijasema mnatakiwa mchepuke ila inavyobidi msije dharau mke wa ndoa kama hivi, nilivyoona title nilifurah kumbe duuuh huna lolote kabisa.
Mkuu nisamehe sana nimekasirika tu cjui kwa nini
Sa umekasilika nini mkuu
 
sijakasilika nimekasirika sana the way ulivyo muweka mkeo second option
Nisamehe tu lakini
Hapana, siyo second ila hiyo pesa ilikua na bajet nyingine kabisa na siyo kwamba nyumbani hela hakuna la!! ila nimeona ilikuwa lazima pesa itumike nikaamua niitumia kwa styl hiyo!
 
Hawajui hata matumizi ya news alert. Yaan umesubiri mchepuko haujatokea unatuambia ni news alert
sijui niseme hawajui hata maana ya mchepuko? naona anahisi mchepuko ndo main plate wakati ni side plate tu
teh hawa ni wanafunzi bhana wasitusumbue hapa
 
duuuu hujanibariki kabisa sijui kwa nini lakini, nimeshindwa kubadilisha kile nilichokiweka akilini mwangu. Acha nikuambie kitu, mimi ni mwanamke na sio kwamba nasema mm ni msafi sana hapana, ila gundua mke ni mtu wa maana sana kwenye maisha ya ndoa. mchepuko ukiishiwa au ukaumwa humuoni ila mke yupo tu.
duhh acha ninyamaze ila mkuu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hapana, siyo second ila hiyo pesa ilikua na bajet nyingine kabisa na siyo kwamba nyumbani hela hakuna la!! ila nimeona ilikuwa lazima pesa itumike nikaamua niitumia kwa styl hiyo![/QUOTE
 
duuuu hujanibariki kabisa sijui kwa nini lakini, nimeshindwa kubadilisha kile nilichokiweka akilini mwangu. Acha nikuambie kitu, mimi ni mwanamke na sio kwamba nasema mm ni msafi sana hapana, ila gundua mke ni mtu wa maana sana kwenye maisha ya ndoa. mchepuko ukiishiwa au ukaumwa humuoni ila mke yupo tu.
duhh acha ninyamaze ila mkuu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Fact100%
 
Back
Top Bottom